Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman
Mbowe le amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kuwekwa chini ya
ulinzi mkali kwa takribani masaa matatu.
Taarifa
zinadai kwamba, Mbowe alitiwa nguvuni na polisi baada ya kuwatuhumu
kuhusika na mlipuko wa bomu la arusha katika mkutano wa CHADEMA.
Kuachiwa
huru kwa Mbowe kumetokana na majadiliano ya kina kati ya polisi na
mawakili wake ambao wa wamekubali kujibu kwa maandishi ni kwa nini
Mbowe aliwatuhumu polisi kwa mlipuko huo.
Tutapatana 2015,subirini
ReplyDeleteYani huyu ni mwiba wa Taifa letu. Tumemchoka tumeichoka chadema. Nothing than ubaguzi na kuligawa taifa letu. Tuweni macho jamani
ReplyDeleteYani huyu ni mwiba wa Taifa letu. Tumemchoka tumeichoka chadema. Nothing than ubaguzi na kuligawa taifa letu. Tuweni macho jamani
ReplyDeletehahahaaaaaaaaaa mnapenda afe siyo? HAYA SASA WANAOSEMA NDIYO waseme ndiyoooooooooooooooooo NA WANAOSEMA SIYO Waseme SIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO???? HAYA WALIOSEMA NDIYO WAMESHINDWA. NA WALIOSEMA SIYO WAMESHINDA. UKIBISHA TUTATOA TAARIFA 2015 OCTOBER JUMAPILI MOJA HIVI.
ReplyDelete