Mdakuzi wako leo wakati nasikiliza kipindi cha Power Breakfast, Gerald hando amesema amechukizwa na Mwanamuziki Ben Pol kucopy na Kupaste wimbo wake mpya unaotamba kwa sasa wa JIKUBALI kutoka kwa Wimbo wa Script Feat Wiliam Am unaoitwa Hall of Fame....Gerald Hando aliyasema kuwa hata piga huo wimbo katika kipindi chake cha Power Breakfast...Hii ilikuja baada ya Msikilizaji kuandika Massage akiponda Ben Pol kukopy na kupaste ambapo Gerald nae alikandamizia kwa kumsaport...
Je wewe unasemaje kuhusu suala hilo la Ben Pol Kukopy wimbo wa nje na kuubadilisha kuwa wa Kiswahili?
vitu vinagongwa channel o ye analeta shombo zake asepe hata asipopiga haina tatizo ye ni nan kwan
ReplyDeleteplz b original alafu unategemea watu wanunue cd..shame on u..unafanya muziki wa kizazi kipya ufe..
ReplyDeleteWe piga usipige watanzania tusha kubali wimbo na unatamba na tunao kwenye cm.......kwahyo kaz bure.......nyau ww.
ReplyDeletePiga taarab 2 kama umemaindi maana nyimbo nyingi wasanii wanakopi.
ReplyDeleteHata asipopiga yeye sisi ndiyo mashabiki na tumeupokea ni idea tu kwani yeye original vingapi anacopy....
ReplyDeleteAc2letee pozi za kifara Uyo G.HANDO
ReplyDeleteAcheni ufala,mkiwa sapoti wataanza kuegezea paka basi.halafu mnakua hamna maana mbele ya mataifa mengine ktk music.
ReplyDeleteClouds ndo zao....hivyo kukandamiza wasanii. Masultan wa bongo fleva. China iko pale kwa kucopy na kupest. India pia, kwenye viwanda inaitwa. "Reverse engineering"......... usultani wenu una mwisho chek our sis lady jd kawakimbia and many others to follow.
ReplyDeletembona Redio na TV yao wenyewe wanaiendesha kwa kukopi vipindi ya redio na TV za njee..Hawa jamaa wanavisa tuu..., na mwisho wao haupo mbali, upo kalibu sana...,
ReplyDeleteWatu wakisha pata uwelewa 2, kuwa redio na TV yao inaendeshwa kimajungu wataiama. Mbona kuna Redio kali sana zaidi ya clous FM hapa TZ,
Jamani Tuache kusikiliza hii Redio ya kipumbavu, kila leo ina2letea mambo ya ajabu ajabu 2..Tumechoka sasa. Bola 2sikilize East Afrika Radio na Kiss FM.
Watu wanao muunga mkono BEN POL yawezekana hatashule ilikua hivyohivyo,mwendo wakukopy na kupaste.msisapoti vitu kama hivyo mtawaharibu wasanii chipukizi jamani,kamahunatena mashairi pumzika kidogo,usilete njaa wangu utatuharibia wasanii wajao.Big up hando!!!!
ReplyDeleteacha ushamba wewe mwenyewe umekopy na kupaste vingapi tangu umezaliwa????? maisha yako tu umekopy na kupest potelea mbali huko kaungane na hao mashougger zako
DeleteKama ameiga akapatia kuna shida gani????? mbaya kama angeiga halafu akauharibu wimbo Big up B Pol hao clouds achana nao wao vingapi wameiga na wanaendelea kuiga mpaka leo mbona hakuna mtu anaehangaika nao????? Serikali yenyewe inaiga baadhi ya vitu kutoka mataifa ya juu either inafanikiwa au inashindwa mbona hatuwasikii wakiponda wapeleke ushouggerr hukoo. Nasikia wako kwenye mkakati ili angalao mtangazani mmoja kati ya hawa G. Hando, Kibonde na PJ achaguliwe mkuu wa wilaya so wako busy kujipendekeza.
ReplyDeletekwanza angalieni ukweli ulipo,wote tunajua clouds wazushi lakini hili la ben pol halipaswi kuungwa mkono.
ReplyDeleteclouds ni fake radio station inaboa sana siku iz ila kwa hili la uyu dogo ni kweli hamna haja ya kusapoti ubwege wa kukopi na kupaste music is all about creativity!!
ReplyDeleteSawa tu
ReplyDeleteKuna bwege hapo juu kasema" wanaomsuport ben pol hata shule ukute hawajaenda"..wewe ni kuma,ww ni shule gani uliyoenda?!waliosoma hawajisifii hivi,au fala umeunga unga na kusoma kwa mateso thts y u wana be knwn as a fuckn' asshole educated one!!stupid..kakopi na kafunika mbayaAa..the kid z damn so so so gud.fuck u
ReplyDeleteInawezekana Gerard Hando anatafuta KICK?
ReplyDeleteWote mavi tu.usipige nyimbo we nani?!na ww kwa nn ucopy nyimbo kama ni kucopy wote tutakuwa wanamuziki
ReplyDeleteHao BLAUZI FM wameona dogo anatisha wanataka kumharibia, weee AUNT HANDO acha roho mbaya.
ReplyDeletegerlad ndo nan achape lapa.............sampling inafanyika all the tym kwny mzki....mama mia umerudiwa mara kibao,ub 40 walirudia i love your way kama ulivyo na ukwa kat ya their greatest hits ndo unasema benpol tena kaimb kiswhl acheni miyeyusho yenu nyie mashoga cloudz
ReplyDeleteTuacheni suala la ushabiki, binafsi nakerwa na vitendo wanavyofanya clouds fm lakini kwa hili namsapot gerad 100%. Kama kuna mtu anamtetea ben pol, ajaribu kuisikiliza kwanza ile ngoma ya nje. Bora hata angeiba tone, tatizo kakopi everything kabadili majina tu.......shame on you bongo artists. Rama dee namkubali ndo mkali wa rnb na steve rnb ila sio ben pol. Nihayo tu
ReplyDeleteHiyo ndiyo mambo ya BLAUZI FM.fuck u % times.
ReplyDeleteKwan hamjui g.hando mtoto mchelechele.
ReplyDeleteBig up ben paul,tafuta na nyingine ukopi waone kama hatujaipenda.
ReplyDeleteKama watu huwa wanatafsiri vitabu kutoka Lugha moja kwenda nyingine ili kuhakikisha ujumbe unawafikia wengi, Hata nyimbbo zinahusika pia kubadilishwa lugha ili watanzania wengi waelewe! Ben Pol wewe mkali endelea
ReplyDeletehahahahaaaaaaaaaaa! kijiti chake kimeisha huyooooooooooo?
ReplyDeletemnazingua clouz kwani kukopi kaanza ben pol semeni kama mshaanzisha bifu na huyo anyway pigeni za mnao wapenda coz 2shawazoea na bifu zenu za kisenge acheni malice bhana
ReplyDeleteAta. Aliye mcopy akickia atafurahi coz katendea haki iyo. Nyimbo
ReplyDeleteHv clouds fm ndo nnnn mavi mulkuja vzur xaiv kadri sku znavyoenda mnazd kupoteaa daaaa n kwele wapgieni hao hawacopy nakupaste achen zenu Ben pol Jembe la ukweli kaza mwanzo mwsho mbona hata sye tunajuaa mzki Wa tz n Wa wachache tuzo mnawanyma nje wanapewa Sjui mnajiona maboya clouds mshatuchosha punguzen clouds mbwembwezenu
ReplyDeleteOk conclusion;
ReplyDeleteNa mshindiiiiiiiiiiiiiiii niiiiiiiiiiiiiii BEEEEEEEN POOOOOOL
CLOUDS FM acheni ny*ge mada fu*k
Asikilize mkundu wake unavyojamba basi asituletee shobo hapa mbona yeye anaiga maisha wakati uwezo hana.Ben Pol piga kazi achana na hawa vinembe wanaokufwata fwata!
ReplyDeletembona linah kakopy kwa dbanj na haukusema? we hando acha ushamba wa kiiraq bhana, kama hupigi wa ben pol, anza kuudis wa lina kwanza...
ReplyDeletekama kucopy rahisi, Copy na ww tukusikie...
ReplyDeleteGerald anajua nini kuhusu muziki? Aende zake mbona Power Breakfast ilikopy kipengele cha Bull's eye kutoka Citizen T.V ya Kenya wao wakiita JICHO LA NG'OMBE asijifanya mjuaji sana hana jipya.
ReplyDeleteukitaka kujua maendeleo ya jamii yeyote ni uwezo wa jamii hiyo kusoma/kujifunza wayafanyao jamii nyingine na kuyachukua yaliyo mazuri halafu kuyabaldilisha ili kuyatumia katika jamii zao...ben ameonyesha uwezo wake katika kutuletea kutoka jamii nyingine...mwisho wa siku JKUBALI ni bonge la wimbo...wanaosikiliza redio ni wachache na clouds siyo redio pekee hapa tz...G.H aache kujidanganya...aamke asiendeleze tabia chafu ya kuwadharau/kuwakandamiza wasanii wetu...aachane na tabia CHAFU zinazoendelezwa na kufadhiriwa na hili dudu linaloitwa J.KUSAGWA
ReplyDeleteNYIE WOOTE MNAOMUUNGA MKONO BEN POL HAMUMTAKII MAENDELEO NA PIA HUENDA HAMJUI MAMBO YA MUZIKI NDO SABABU MNAMUUNGA MKONO BP KIUKWELI AKISHAONA TU ANAUNGWA MKONO NA WASHABIKI BASI ATAJIULIZA KWA NN AUMIZE KICHWA KUTUNGA NYIMBO ZAKE WAKATIZA KUIGA ZIPO KIBAO?
ReplyDeleteOliver twist ikawa fiesta song kila walipokuwa na tamasha hadi redioni ikawa inapigwa sijasikia wakisema linah amecopy,
ReplyDeletedayna na baba levo waliulaalamikia my number one ya diamond lakini clouds ndio waliokuwa wanaongoza kumtetea diamond, hiyo nyimbo BEN POL kaitendea haki mwacheni alisongeshe mbona hamkupiga kelele bomboclat ya chameleon alivyocopy nyimbo ya Prof Jay?