Mdahalo uliofanyika recently ulikuwa mzuri lakini hitilafu ya kumfanya
Waziri Nchimbi ndie mfungaji wa MDAHALO ilikuwa kubwa sana
Mengi aliyoyaongea Nchimbi yalistahili kujadiliwa
lakini kwa kuwa aliongea wa mwisho hakukuwa na nafasi ya kujadiliwa
au kumpinga
Lakini hitilafu kubwa zaidi ni kutoa dakika karibu 30 kwa Nchimbi
na kuwapa watu kama Tundu Lissu na Julius Mtatiro dakika tatu tu
huku mdahalo ukijadili amani ya taifa na Nchimbi akiwa mmoja wa
walioshindwa vibaya kwenye ulinzi na usalama wa Taifa kama Waziri
ilikuwa aibu mno kumpa nafasi ya kuisafisha serikali na kutoa kauli za kukera
watu kama aliposema 'gesi lazima itoke Mtwara'
hii itilafu isipotizamwa tena MIDAHALO mingi itakosa maana
Mtu aliye shine vizuri alikuwa Profesa Benardetha Killian
nimempa heshima mno.....lakini hili la Nchimbi lilikuwa big mistake
NCHIMBI NI WAZIRI WA ULINZI KUPEWA MUDA MREFU NI HAKI YAKE NI VEMA TUNDU LISU NA ITATIRO WASUBIRI WATAKAPOKUWA MAWAZIRI HIYO NI PROTOKALI ASIYEPENDA AACHE
ReplyDeletendugu sizan kama unaelewa unachokisema. acha kupotosha watu kutokana na itikadi zako. kubaliana na ukweli na cyo kutuma post zisizo za maana
ReplyDeleteYupo sawa kwa kauli aliyosema kwamba yeye ni Waziri na kupewa muda mrefu si tatizo, tatizo ni pale kwa kuwa ulikuwa ni mdahalo yeye alipaswa awe mfungua mdahalo na si mfunga mdahalo ili kutoa nafasi kwa wachangiaji wengine kuweza kusikia kauli ya serikali na kuchangia kwa mapana zaidi na hata kuhoji maana nchi yetu ni nchi ya kidemokrasia. Nawasilisha.
ReplyDelete