Mwanamuziki staa wa bongo fleva Rehema Chalamila a.k.a Ray C amepotea katika anga ya muziki kwa kipindi kirefu kutokana na matatizo ya matumizi ya madawa ya kulevya na baada ya kupata tiba sasa mambo yanaonekana kurudi katika hali yake ya kawaida.
Pamoja na ukimya wake katika muziki, Ray C a.k.a kiuno bila mfupa sasa anaonekana kuwa active zaidi katika mitandao ya kijamii hususan Instagram. Ray C ameshare baadhi ya picha na fans wake kupitia instagram ambazo kwa namna moja au nyingine zinaongea zenyewe (kwa kusindikizwa na captions) juu ya maisha yake ya sasa. Kwa ufupi ni kuwa Rehema anakula bata tu sasa hivi, thanks kwa shavu alilopewa na Rais Jakaya Kikwete ambaye anamuita ‘Daddy’. Take a look….
Hizi ni baadhi ya picha zinazomwonesha yeye mwenyewe alivyo sasa, amenenepa sana!
Mbayaaaaaaaa midole mirefuuuuuu
ReplyDeletekwa muonekano tu yupo hovyo!!
ReplyDeleteBado saaaaaaaana
ReplyDeleteKwanza midole inaonyesha kajichubua aache na mkorogo kama alivyooacha madawa ili tujue kwel kabadilika
ReplyDeleteumeona wapi mwandaazimu akapoa anaku afazili tu.na yeye ray c sio kama kaacha madawa kampumzika.
ReplyDeleteDAH XO MCHEZOOOOOOOOOO
ReplyDeleteDAH XO MCHEZOOOOOOOOOO
ReplyDeletehivi kunenepa ni afya kumbe?
ReplyDeletejmn tujaribu kuombeana mema na tupeane sapot ktk mambo ya heri
ReplyDeleteLkn kwa alivyokuwa amefikia inawezekana kaacha, na mziki kaacha.
ReplyDeletexaf xna rud coz recho atachukua nfax yko daima
ReplyDeletemungu amsaidie asirudie hiyo biashara ya kubugia hayo madawa ya kulevya
ReplyDelete