HUYU NDIO MREMBO AMBAE GELLY WA RYMES AMESEMA ANAFAA KUISHI NAE

Gelly wa Rhymes ni mmoja wa wabongo ambao wamewahi kumilikishwa namba nzuri kwenye chati za radio mbalimbali Tanzania na Kenya hasa kupitia single ya ‘Mama Ntilie’ ft Ray C.
July 10 2013 Gelly ameiweka hii siku kama kumbukumbu baada ya kulihutubia taifa la bongofleva kupitia hii video mpya inaitwa ‘lovely’
Please jisikie huru kuitazama na kuacha maoni yako hapo chini mtu wa nguvu.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwanamke tabia sura hata mbuzi anayo

    ReplyDelete
  2. Mwanamke tabia.sura hata ngiri pia ni sura wanayo.

    ReplyDelete
  3. money first then bitchz. Au vp waungwana

    ReplyDelete
  4. Uzuri wa umbile usikutie wazimu chunguza Tabia kaka.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad