KABLA AGNESS MASOGANGE HAJAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA ALIPO PICHA HII

Picha aliyoipost Agnes Masogange katika mtandao wa Instagram kabla yeye na mwenzake hawajakamatwa na shehena ya madawa ya kulevya yenye thamani ya Tshs. bilioni 7 katika uwanja wa ndege wa OR Tambo jijini Johanesburg nchini Afrika Kusini mwanzoni mwa wiki hii.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad