LIST YA MAWAZIRI WETU WANAO WEZA KUONGEA FLUENT ENGLISH

Weka list ya mawaziri wanaoweza kuongea kingereza kwa ufasaha

1. Khamisi Kagasheki
2. January Makamba
3. Harrison Mwakyembe
4. Mark Mwandosya
5.Bernad Membe

Ongeza list yako na wewe ya mawaziri wanaoweza kuongea kingereza kwa ufasaha
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waziri Homo Sapiens.

    ReplyDelete
  2. Wengine ni' fisadi wa elimu 'willim Lukuvi mwenye elimu ya darasa la saba na cheti cha UPE.Mwingine ni naibu waziri Mulugo mwenye vyeti vya gagari na aliyesema akiwa serious eti Zanzibar ni muungano wa visiwa vya unguja nw Zimbabwe! Mwingine ni 'binadamu wa kale'aliyekatazwa ziara ya Obama kwa sababu watoto wake Wangezimia na kupoteza fahamu wakimuona alivyo na 'sura ngumu'kama mavi ya asubuhi.Mwengine ni waziri mkuu mwenye roho ya Hitler mzee wa 'wapige tu' na 'liwalo na liwe'Dr.Ulimboka ng'oa macho,meno,piga sana ,tupa porini.Siwezi kumsahau ibilisi Mkuchika aliyelifungia gazeti letu kipenzi Mwanahalisi na sasa anaota na kuweweseka usiku eti atalifungia Gazeti bomba la New York Times kwa kuichana live serikali ya ccm kwa mauawaji ya wapinzani.Hawa wote ni VIHIYO!!!

    ReplyDelete
  3. Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,nicheke ninenepe mie,loh!

    ReplyDelete
  4. Hahahahahahahah

    ReplyDelete
  5. nyie mnakua kama wasenge mnaona kingereza dili sana? kwa nn sisi watanzania hatujivunii vya kwetu? baraka kushoboka na vya watu nchi ngapi zina lugha zao n hawashobokei kingereza? mchina na anamaendeleo mfaransa ukifika kwao kama hujui kifaransa ukiongea kingereza kukujibu ni kasi sana japo anakijua. nyie mkiona mzungu tu heloooo nyoko zenu

    ReplyDelete
  6. We unae tukana wenzako eti hawaheshimu kiswahili nadhani unafikiria kwa kutumia nyuma na si kichwa. Jiulize kwa nini JK aliongea english na si kiswahili obama alipo kija? Je unadhani Obama akienda china au France maraisi wa kule wataongea Kingereza? Mimatusi kibao kichwani kihiyo....... mshamba mkubwa.

    ReplyDelete
  7. Aliyetukana ni wazi hata yeye english ni Zero sasa hasira zinamfanya aporomishe matusi hovyo mbu mbu mbu mkubwa hebu tutokee hapa usituletee uchuro wako hapa utabaki naupumbavu wako mpaka kifo

    ReplyDelete
  8. upumbavu tu hamna la maaana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad