MADHARA YA KUFANYA NGONO NA MWANAMKE ALIYE KATIKA SIKU ZAKE

Jamani naomba kuuliza Swali Je Kuna madhara yoyote kwa pande zote mbili endapo tendo la ndoa likafanyika pindi mwanamke akiwa katika siku zake?
Kama mara mbili hivi nimejikuta nikizidiwa na kufanya kitendo hicho katika hizo siku sasa napata wasiwasi naomba mwenye kujua atujuze...
Thanks in Advance...
Tags

Post a Comment

32 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zaidi ya uchafu hakuna kingine!

    ReplyDelete
  2. Ki afya inahafect mfumo mzima wa urutubishaji hususani kwa wanaume uwaletea mzala katika njia zao za uzazi kwani damu huindia ndani na kusababisha uvimbe katika mirija ya manii siwashauli kufanya hivyo kwani itawacoast maisha yenu acheni mambo ya kijinga

    ReplyDelete
  3. Mwanaume kamili ni yule mwenye uvumilivu na kujiamin na kuelewa nini maana ya siku za mwanamke tuwe makini sana jamani tutaangamia tusichukulie mzaa mambo haya

    ReplyDelete
  4. da!mwanangu mi sijawahi kujalibu lakini navyo hisi kuna raha,halafu kuna matatizo na hayo matatizo yatampata mwanamke

    ReplyDelete
    Replies
    1. matatizo kwa wote we bwege acha ujinga uwoo, kuna raha gani alokuambia? ni uchafu na ni kujitaftia maradhi

      Delete
    2. tafadhali kuwa mtu mzima ni uchafu mtupu basi go on n do some cumminglus n boost your blood supply

      Delete
  5. Kwa upande wa mke, siku za hedhi zitaongezeka na kusababisha kuvurugika kwa mzunguko wake.

    Upande wa mume, kuchafuka kwa njia ya uzazi maana damu chafu kutoka kwa mke huingia. Hii inaweza kusababisha madhara.

    ReplyDelete
  6. Hakuna madhara yoyote

    ReplyDelete
  7. madhara yapo na tena mabaya sana kiufupi haifai na istoshe ni uchafu, inaweza kupelekea ww mme kukosa kizazi pia

    ReplyDelete
  8. Umerefer tafiti zipi za kibiolojia? teteeni hoja zenu vizuri.Jirani yangu kafanya sana hvyo na amezaa Mahandsome na mabeautfully ya hatari.Jenga hoja epuka usanii,wote mlioongea hapo hakuna mwenye authority hata moja.

    ReplyDelete
  9. madhara yapo kwa mwanaume inaharibu mfumo wa uzalishaji mbegu ile damu ni mbaya sana na kwa mwanamke inaharibu mzunguko wake

    ReplyDelete
  10. tumieni kondom bana,mambo yanakuwa poa.

    ReplyDelete
  11. Kwakweli hakuna madhara lakini si vizuri kufanya na damu..damu ile ni safi tu na si mbaya..ila kama huwezi msubiri kwenye zile siku tano basi we si muaminifu..na unaweza msaliti mwenzako..

    ReplyDelete
  12. mambo vip natumaini wote mnahitaji jibu la kweli kuhusu swali, sasa ni kwamba. kisayans swala la la laa
    hebu subiri kidogo kuna demu kaingia ghetoni niuulize anataka nini.

    ReplyDelete
  13. Hakuna madhara kama mtu wako atajisafisha vizuri kabisa kwani inasaidia pia kama msichana anasumbuliwa na tumbo la piriod anapofanya mapenzi akiwa kwenye siku zake linapungua, nilisoma hii kwenye blog ya dinahicius.com jaribu kuingia hutajutia , kunamambo mengi ya kujifunza kwenye blog ile, binafsi nilikuwa siskii raha ya kungonoka but now nafurahia so tujifunze kupitia kwenye blogs nyingine pia mambo ni mengi mengi mengi utashangaa hasa kama si mjuzi wa mambo utajikuta unajifunza kupita wengine hasa koments za watu na hata bloger mwenyewe si mchoyo wa kushea alichonacho na wenzie. thanks , Mamdachi

    ReplyDelete
  14. Hakuna shida kabisa tena uwe unanyonya uchi wake kabisa inasaidia kuongeza calcium na potacium kwa wingi CD4 pia zinaongezeka ukiachilia mbali uke kuwa wa motooooooo kama mwanamke mjamzito unaweza kujikuta unapiga machine usiku kucha.

    ReplyDelete
  15. Jamani kuweni na busara

    ReplyDelete
  16. madhara lazima yapo, siwashauri wanawake kufanya ngono wakati wa Hedhi, coz damu inakuwa exposed hivyo ni rahisi kwa maambukizi ya STI's

    ReplyDelete
  17. Duh,njiapanda hapo,ila ninachojua mwanamke akifanya ngono wakati wa hedhi,kuma huongezeka na kuwa kubwa km mdomo wa gunia!

    ReplyDelete
  18. Kuna ukweli wowotekuwa mwanamke akishazaa kuma huongezeka na kuwa kubwa tofauti na ambaye hajazaa?Msaada wenu pls.

    ReplyDelete
  19. Duh,.hapo usalama mdogo

    ReplyDelete
  20. Kiufupi madhara yapo tena makubwa sana hasahasa kwa mwanamke. Ni hivi mwanamke afanyapo ngono akiwa kwenye siku zake tena bila condom zile shahawa anazomwaga mwanaume huwa zinaenda sehemu na kuchanganyikana na ile damu ya hedhi kisha huganda na kupelekea mwanamke apate matatizo haya:
    1. atajihisi kama mwenye mimba na dalili zote za mimba ataziona
    2. ataumwa tumbo kwa sababu ya uchafu ambao ulibaki.
    3. mwanamke atavuruga her menstruation cycle.
    4. kukosekana kwa kuaminiana katika ndoa maana kama mwanamke atamwambia mmewe kuwa ana dalili za mimba na ukakuta mme alimgusa akiwa kwenye cku zake.
    NI HAYO TU
    By Dr. L.

    ReplyDelete
  21. Kiufupi madhara yapo tena makubwa sana hasahasa kwa mwanamke. Ni hivi mwanamke afanyapo ngono akiwa kwenye siku zake tena bila condom zile shahawa anazomwaga mwanaume huwa zinaenda sehemu na kuchanganyikana na ile damu ya hedhi kisha huganda na kupelekea mwanamke apate matatizo haya:
    1. atajihisi kama mwenye mimba na dalili zote za mimba ataziona
    2. ataumwa tumbo kwa sababu ya uchafu ambao ulibaki.
    3. mwanamke atavuruga her menstruation cycle.
    4. kukosekana kwa kuaminiana katika ndoa maana kama mwanamke atamwambia mmewe kuwa ana dalili za mimba na ukakuta mme alimgusa akiwa kwenye cku zake.
    NI HAYO TU
    By Dr. L.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lakini mimba haiwezi kuingia?

      Delete
  22. Kiufupi madhara yapo tena makubwa sana hasahasa kwa mwanamke. Ni hivi mwanamke afanyapo ngono akiwa kwenye siku zake tena bila condom zile shahawa anazomwaga mwanaume huwa zinaenda sehemu na kuchanganyikana na ile damu ya hedhi kisha huganda na kupelekea mwanamke apate matatizo haya:
    1. atajihisi kama mwenye mimba na dalili zote za mimba ataziona
    2. ataumwa tumbo kwa sababu ya uchafu ambao ulibaki.
    3. mwanamke atavuruga her menstruation cycle.
    4. kukosekana kwa kuaminiana katika ndoa maana kama mwanamke atamwambia mmewe kuwa ana dalili za mimba na ukakuta mme alimgusa akiwa kwenye cku zake.
    NI HAYO TU
    By Dr. L.

    ReplyDelete
  23. kuna ukimwi ndan ya hedhi..??

    ReplyDelete
  24. Nimefanya mapenzi na mwanamke.nimetumia kinga ILA naofia kwasababu alikuwa kwenye siku zake..ili damu ya hedhi..alingusa mwili wangu ..kuna uwezekano wa ukimwi hapo?@Dr L

    ReplyDelete
  25. Achen hzo madhara yapo busara n kua. Mvumlv2

    ReplyDelete
  26. FROM MARY MDIMA:Jaribun kuwa wavumilivu bac cyo kila ukihisi njaa lazima ule!

    ReplyDelete
  27. Guyz..a need..2know...kufanya mapenzi siku ya mwisho ya hedhi yani ike siku ya mwisho damu kukata..kuna uwezekano wakupata mimba hapo...plz..help

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad