NIMEPOTEZA SIMU INA PICHA ZANGU ZA NUSU UCHI, MTU AIKOTA NA KUANZA KUZIWEKA FACEBOOK-HELP

Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked.
Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake akalipata,kaingia Facebook akafungua new account akaipa jina la Huyo binti.
Anachofanya now ana-upload picha moja baada ya nyingine kila siku na amempigia simu huyu binti anamwambia ampe laki 3 ili asitishe zoezi Na kufuta hiyo account..
Binti kachanganyikiwa now sababu hana hela Na nyumbani wakijua ni bonge LA msala na aibu coz mzee ni noma Na ni kiongozi wa dini ukizingatia na huu muda wa Ramadhani.
Nimejaribu kuchati jamaa kupitia account hiyo alipokuwa online asubuh amesema yuko serious Na sasa anaanza na video clip zilizomo!

Naombeni michango ya mawazo tumshauri nini cha kufanya kuhusu hili,Na je kuna uwezekano wa kufunga account au hiyo kwa njia tofauti au kama kuna sheria kumkamata na kumshtaki jamaa coz only kilichopo ni namba yake tu.
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Iyo ndo dawa yao na nifundisho kwa wengine

    ReplyDelete
  2. Anatumia account name gani nikupe ujanja

    ReplyDelete
  3. hakuna kumkamata wala kumshitaki,y upige picha km hizo kwani we unajiuza???...ndo ukome

    ReplyDelete
    Replies
    1. Saafi sana, kama alijua hajiuzi na babake ni kiongoz wa dini kwa nini aende kinyume na maadili ya dini? Mungu kaamua kumuumbua mnafiki, tena jamaa aloiokota naomba aweke na izo clips watu sisi tusafishe macho. Niulimbuken kupiga picha za uchi au video clips, kama unatafuta soko sawa tuwasiliane nkupe contract ya kucheza na nyani

      Delete
  4. It is immoral kupiga picha kama hizo na ukienda mahakamani kama ni ishu nyingine unaweza kibao kikakugeukia,wewe ingia fb report abuse(kuna kakipengele hako)elezea kila kitu pale in English please halafu wao wataifungia akaunti na watakupa what is the way forwad

    ReplyDelete
  5. ukome kuweka pcha za nakes kwenye xm yako,na hyo ndo dawa yako.

    ReplyDelete
  6. Inform fb then wataifunga account hyo in english language.muwah au mtafute mtu anayeweza kuriport fb then muifunge hyo account.

    ReplyDelete
  7. ingia inbox Jackie johnie nikupe msaada

    ReplyDelete
  8. Mume wangu ana Picha zangu za uchi kibao na video Kwenye simu yake Yaani kuna siku simu ilipotea akili iliniruka .Uzuri wake Mtu aliyeiokota akapiga no yangu maana my hubby alisave as my lovely wife .Nilivyopokea niliendesha nikachukua simu .Nilikomaje

    ReplyDelete
  9. HEHE SASA ATA AKI REPORT FB NA WAKAIFUNGA IYO ACCOUNT, JAMAA C ATAFUNGU NYENGNE TU, ACHENI UBOYA NA NYIEEEE

    ReplyDelete
  10. Report issue police wataweza saidia kuntrack huyo mshamba, kwa huyo dem lingekuwa kosa kama angeweka picha hizo public lakini sio kosa kisheria mtu kujipiga picha akiwa naked privetly.

    ReplyDelete
  11. Ajifunzeeeee

    ReplyDelete
  12. NITAFUTE INBOX JACKIE JOHN FOR MORE HELP

    ReplyDelete
  13. pumbavu kwani kosa ni nini kujipiga picha?huyo anae zitoa kama si limbukeni ni ushamba una mzuzua.simu ni yake na alicho kifanya kimo ndani yake.ikiwa ameokota simu unahaja gani ya kumchafua mtu?acheni ulimbukeni

    ReplyDelete
  14. Kwa maoni yangu huyo mshkj aendeleee kuzirusha hizo picha na video mpaka amalize ndo atakoma as u

    ReplyDelete
  15. go in your fb account then find where is administration ,put your report i mean type you description and submit the name of the account opened by that pirate by the name of that girl and the names of the pirate account, the administrator will lock out that accounts of pirate and of that girls. thanks in advance ,
    paul.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad