“We’re getting more serious,” Feza alimwambia Big Brother. “Kukutana
na Oneal kwenye nyumba hii kumeonesha upande wangu ambao sikudhani
watu wangeuona, alisema Feza. Upande wa ulaini na udhaifu wangu.
Marafiki zangu nyumbani wanasema nimekuwa rahisi sana na napotea. Mtu
mmoja anahitaji kwa kiasi fulani kuwa mjinga kwenye uhusiano.
Ni
ngumu sana pia, sababu wakati mwingine nataka kuwa mkali na siwezi
sababu uhusiano huu si tu unanihusu mimi. Unanihusu mimi Oneal na
Africa.”
Feza alimwambia Biggie kuwa yeye na
mpenzi wake huyo raia wa Botswana wana hamu kubwa siku wanaondoka
mjengoni humo kwenda kuundeleza zaidi uhusiano wao.
PENZI LA FEZA KESSY NA ONEAL LAZIDI KUPAMBA MOTO KWENYE JUMBA LA BBA.....FEZA KESSY AKIRI KUFA KIMAHABA
0
July 25, 2013
Tags