Mr. Sambiti unasoma sana magazeti! Pole, inaidi usome vitabu vilevile ili ulinganishe habari kabla hujatoa maoni yako. Ndio maana Africa tunao viongozi wabovu japo wameenda shule! Usivutwe na habari za msikitini/kanisani halafu ukatoa mjadala wako bila ya kuutafakari.
Mr.Obama karibu Tanzania,lakini tambua serikali ya ccm ni ya mafisadi na wauaji wanaoua waandishi wa habari,raia na kuwapiga mabomu wapinzani kwenye mikutano ua hadhara.Mikono yao inanuka damu.Obama kanawe mikono kwa jik imechafuliwa leo.
karibu obama lakini tambua wanaokupa mikono ya karibu mgeni ni wanafiki na wenye matabasamu ya uwongo(fake smiles) usiishie movenpick njoo mtaani uone maisha yalivyo magumu kutokana na hao viongozi!!!!!!!!
Mr. Sambiti unasoma sana magazeti! Pole, inaidi usome vitabu vilevile ili ulinganishe habari kabla hujatoa maoni yako. Ndio maana Africa tunao viongozi wabovu japo wameenda shule! Usivutwe na habari za msikitini/kanisani halafu ukatoa mjadala wako bila ya kuutafakari.
ReplyDeleteMr.Obama karibu Tanzania,lakini tambua serikali ya ccm ni ya mafisadi na wauaji wanaoua waandishi wa habari,raia na kuwapiga mabomu wapinzani kwenye mikutano ua hadhara.Mikono yao inanuka damu.Obama kanawe mikono kwa jik imechafuliwa leo.
ReplyDeleteAsante baba tumekusoma karibu mama hii ndio Bongo uzushi mwingi, uwongo kibao, njaa mingi, mafwisadi kabao, changudoa kibao, nk.
ReplyDeletekaribu obama lakini tambua wanaokupa mikono ya karibu mgeni ni wanafiki na wenye matabasamu ya uwongo(fake smiles) usiishie movenpick njoo mtaani uone maisha yalivyo magumu kutokana na hao viongozi!!!!!!!!
ReplyDelete