Hapo ni ushindani na tigo kuweka bango lao kwa maneno hayo it means wanajionesha kuwa wao ni bora kuliko walioweka chini!!hapo ni millenium tower ambapo matangazo ya chini yamewekwa juzi juzi tu,na tigo walivyoona hvyo wakaamua kubadilisha na kuweka hayo yenye vimishale..kweli huu ni ushindani wa kibiashara! Tutamkubali ambae hatotukata kodi ya mwezi so shindaneni katika hilo
We mdau wakwanza kajifundishe kiswahili kwanza... Aibu hii. Sentensi moja fupi na inamakosa matatu ya kubania herufi " H".???? uwa ..... HUWA ilo. ........ HILO io............HIYO
Ahaha tigo hao ,uwa nacheka sana nikipita hapo millenium towerz nikilisoma ilo tangazo na io mishale yao!!
ReplyDeleteHapo ni ushindani na tigo kuweka bango lao kwa maneno hayo it means wanajionesha kuwa wao ni bora kuliko walioweka chini!!hapo ni millenium tower ambapo matangazo ya chini yamewekwa juzi juzi tu,na tigo walivyoona hvyo wakaamua kubadilisha na kuweka hayo yenye vimishale..kweli huu ni ushindani wa kibiashara! Tutamkubali ambae hatotukata kodi ya mwezi so shindaneni katika hilo
ReplyDeletema traffic wetu wameona hilo tangazo la voda ??
ReplyDeleteWe mdau wakwanza kajifundishe kiswahili kwanza...
ReplyDeleteAibu hii. Sentensi moja fupi na inamakosa matatu ya kubania herufi " H".????
uwa ..... HUWA
ilo. ........ HILO
io............HIYO