Mmoja wa cheza show kama anavyoonekan akiwa akimchezea uchi mteja.
Mcheza show wa kundi la Bikoko akionesha manjonjo yake mbele ya wateja.
Laanakhum kama hii
haikubariki Serikali inatakiwa kuyasambaratisha makundi kama haya ili
kukomesha uposhwaji wa maadili ya mtanzania na kushawishi vitendo vya
ngono.
Serikali
ya Tanzania kupita wizara ya michezo utamaduni imeshauriwa
kuyasambatisha makundi yote yanayojihusicha na kucheza uchi kwenye kumbi
za burudani ili kukomesha hamasa za ngono na udhalilishaji.
Wakiongea
na Xdeejayz baadhi ya wanchi waliyalalamikia makundi ya Khanga Moja "
Laki Si pesa, Baikoko, Kitu Tigo K nyumbani kwako,Tako Camp lililopo
Mwanyamala mchangaji watu hao walisema kushindwa kwa Serikali kuyazuia
makundi hayo ni kuonesha udhaifu kwani yamekuwa yakidhalilisha heshima
ya mwanamke wa Tanzania pamoja na kihamisha ngono.
Mnataka wafungiwe halafu wakale wapi. Nchi yetu siku hizi kila mtu anajitafutia, na kama riziki yao ni kwenye kunengua, basi waache wanengue.
ReplyDeleteSasa si wanengue kwa staha !!!! Ndio nini hiki kuchochea ushawishi wa ngono hadharani na kudhalilisha wanawake this is just so irritating. How cheap can people be na watu Kama hawa maisha yao yote na kujidhalilisha kote hawana maendeleo yoyote kiuchumi maskini wa kutupwa wanaishia kutumika tu by the time wanashtuka it's too late au wameambulia maradhi tu
ReplyDeleteKweli kabisa
ReplyDeletesiwapendi? wanajitoa akili sana kama hawana wazazi nibi?
ReplyDeleteNdio stail ya maisha waliyoichagua tuwaache ila mwisho wa cku hesabu zao zipo kwa mungu!
ReplyDeleteMh makubwa.madai yake its a free country
ReplyDeleteHaya mambo yanahamasisha ngono,hususa kinyume namaumbile,hawa baikoko wanateketeza taifa letu.Tuache huu ujinga wakutumia maneno pasipohusika,nikweli [its a free country]lakini ikumbukwe kua mila na desturi zetu ndizo zimetupa heshima ya taifa hili,sizanikama kunamzazi ambaye angependa mwanae awekatika kikundi hichi.inabidi wizarahusika iangalie nijinsigani inaweza kulisaidia kundihili likawa la kitamaduni zaidi.
ReplyDeleteBIG UP! RAS'BONGO.
ReplyDeleteNyie hawa watu wapo toka enzi hizo .... na watakuepo hadi mwisho wa dunia ... rumieni akili... serikali ikubali ila wacontrol na wawepe vibali ambavyo vitawaweka mbali na watto wetu...
ReplyDeleteMtu alichezewa pale external ubungo mpk akajkojolea.tushawazoea
ReplyDeleteushenzi mtupu hawana lolote, kwani kutafuta pesa mpaka ujidhalilishe namna hiyo? wajiheshimu basi hili jambo si la kufumbia macho, wamenikera
ReplyDeleteNi udhalilishaji jamani hata kama ni uhuru huu umezidi. Wafungiwe na warudi kijijini wakalime. Inahamasisha ngono zembe. Ni aibu sana
ReplyDeleteKwani mnalazimishwa kuwaangalia,waacheni w
ReplyDeleteasakate rumba aaala kwanza mimi wananipaga raha kinoma.
Haa! Waacheni tu jamani ,coz wanatupa raha
ReplyDeletewafungiwe.
ReplyDeleteHiyo serikali iwafungie kwani inawasaidia kitu gani?wawape vibali na mipaka maalum ya kufanya shughuli zao na kuwatengenezea sheria maalum kwa haki miliki ya kazi zao,wakivuna pesa kwa sanaa yao hawatacheza uchi,kucheza uchi ni kukufanya utoe ulichonacho na kuwatunza,kwa namna nyingine wanafurahisha.
ReplyDelete