MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoa kali
ya mwaka baada ya kunaswa akiingia ‘supermarket’ akiwa ametinga taulo
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika mji wa Maryland nchini
Marekani ambapo staa huyo amekwenda kwa ajili ya kufanya shoo kisha
kupigwa picha hiyo na rafiki yake ambaye aliiweka mtandaoni ikimuonesha
akiwa amefunga taulo kwenye matiti.
Paparazi wetu alipomuuliza Shilole kulikoni kupitia mtandao wa Instagram, alifunguka:
“Huku
watu wanaishi kizungu hakuna mtu anayeshughulika na maisha ya mwenzake
kila mmoja anahangaika na mambo yake kwa hiyo siyo ajabu mimi kuvaa
taulo na kwenda nalo supermarket, huku ni kawaida tu.”
uchz na ushamba unamsumbua na hata kama wanaishi kizungu jeee alishawah kuona mzungu kafanya kama alivyofanya...acha wehu mdada umaarufu hauongezwi hvyo
ReplyDeletenafikiri ni safari yake ya kwanza nje ya nchi.....ni ushamba tu akizoea ulaya ataacha.....
ReplyDeleteHata kama wazungu wanafanya ujinga na upumbavu wewe ndio uige?!Au unaamini kwamba watu weupe hawana upumbavu ktk vichwa vyao?Sio heti ndio mara ya kwanza kusafiri nafikiri hiyo sio sbb,kwan kila kitu kina mara ya kwanza.Jee wewe mara yako ya kwanzab hulipo safiri ulifanya ulimbukeni kama huu?Hiyo ni yye tu.............!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHata kama kila mtu na hamcn zake...huo USHAMBAAAA..... Anatafuta kujulikana kua yuko US...shule nazo zinasaidia hamna kitu hapo kichwaniiii
ReplyDelete