Web

SIKILIZA HAPA JINSI SHILOLE ALIVYOFUNGUKA KUHUSU SINTAH NA JINSI SINTAH ALIVYOMJIBU

Top Post Ad

Shilole amerudi kutoka Marekani na habari za kufanya collabo na JLo, watu tofauti walizipokea hizi habari kitofauti. Blogger Sintah alipost kwenye blog yake mawazo yake juu ya hii ishu. Shilole hakupendezwa na hiyo post ya Sinta, kupitia Take One ya Zamaradi Mketema Shilole alifunguka kuhusu hii ishu. Pia leo asubuhi kupitia movie leo ya Leo tena, Sintah aliongea na Zamaradi Mketema kuhusu hii ishu.Sikiliza hapa sauti zote tangu Shilole kwenye Take One na leo Sinta alivyomjibu akiwana Zamaradi kwenye Movie Leo. Zamaradi pia aliahidi kumhoji Sintah kwenye Take One ya Clouds TV.

Below Post Ad

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe Mwenye blog ni mange kimambi au ?

    ReplyDelete
  2. Asa tusikilize wapi hzo sauti mbona mnatuzingua?

    ReplyDelete