SINA MUDA WA KUMJIBU RAIS KIKWETE...NASUBIRI MUDA MWAFAKA WA KUMUONESHA MIMI NI NANI" PAUL KAGAME

Nikiwa  katika  upekuzi  wangu, nimeshtushwa sana na kauli za  KIHUNI  za Rais  Paul Kagame  dhidi ya  Rais wetu Kikwete na nchi yetu kwa ujumla....

Rais Kikwete ameepuka malumbano na Kagame kwa  kukaa  kimya , lakini inaelekea Kagame  anadhani ukimya wa Kikwete ni uoga kwake  au labda anatafsiri kuwa anadharauliwa.....

Nadhani  huu  ni  wakati  mwafaka  kwetu  sisi  watanzania  kuungana  na  kumuunga  mkono  rais  wetu  juu  ya  huu  UPUMBAVU  wa  Kagame....

Kagame  ni  lazima  atambue  kwamba  watanzania  tupo  tayari  kuilinda  nchi  yetu  kwa  gharama  yoyote  na  kamwe  hatuwezi  kuwa  VIBARKA  wa  Rwanda...

Ifuatayo  ni  Kauli  ya  Kihuni  aliyoitoa  Rais  Kagame  Kwa  Taifa  letu:
-------------------------------------------------------------

.....“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? 


 Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer.


 I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”“


It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”“, sponsored by his wife, Janet Kagame.


Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”. 

The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....
 


source..I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, Rwandan General Paul Kagame Threatens Tanzanian Jakaya Kikwete
Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kikwete hata wananchi wake wa Mtwara kawa ignore, so.
    Kikwete amefanya mazuri mengi lakini sasa nae anaanza kushindwa,
    Anaanza kuwa adui wa watanzania kama Mpaka alie uza bahari ya watanzania kwa wageni, raia walipo lalamika kuwa wanaitegemea kuvua samaki, akawaambia WATAJIJU.

    Watanzania hawakujifunza mazuri kipindi cha mkapa bali walijifunza neno la kihuni UTAJIJU.

    Ma raisi wa kiafrika badala ya kufocus kutatua matatizo, wao wanafocuce kutengeneza uadui, na kuaribu aribu. Piganeni tu mapanga

    ReplyDelete
  2. jamani msipende kuamini kila mlisomalo kwenye udaku,jamaa anajaziaga na yakwake cku iende.

    ReplyDelete
  3. Vijana wet hatuwezi kuwapiganisha kwa usenge WA kikwete,kagame ni warlords,kagame nenda ikulu ukamfile kabisa,hiyo ni vita yake mwenyewe,rais gani anasema mtu asiye...analake jambo,si shoga huyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msenge wewe. Unaehisi unaongozwa na msenge. Mtu anakifanya unakunya umechuchumaa unamuita msenge. Si km kutukana shahawa za Baba yako na ndo zilizokuleta duniani. use ur brain useless

      Delete
    2. wewe ni mtsusi,nadhani Kagame anakufanyaga hivyo ndio maana unasapoti udikteta wake

      Delete
  4. Kikwete hana lolote wala chochote cha kumwambia Kagame.Kabla ya kumrukia kagame kupoteza lengo,kiwete arejeshe amani ya tanzania ambayo ameiharibu kwa mikono yake mwenyewe inayonuka damu za Dr Ulimboka,mwangosi,Kibanda,waaandishi wa habari na uuwaji wa raia wasiokuw na hatia.Kiwete ziiiiiii Kagame oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
    Replies
    1. nina wasiwasi na uraia wako...tatizo tuna wakimbizi wengi sana nchini humu...naunga mkono kuchapwa kwa Kagame

      Delete
  5. Jambo msilolijua ni km usiku wa giza.

    ReplyDelete
  6. Jambo msilolijua ni km usiku wa giza.

    ReplyDelete
  7. dgdjugvcftfbbvdvfedgehdededgveev fecvgcijr

    ReplyDelete
  8. Nyie wasenge hapo juu nahis mtakua machinga wa kariakoo na vibaraka wakile chama cha wendawazmu wenye fujo hapa tanzania...kagame hoyee mkundu wako eti kikwete hana lolot nyny ni wasenge tena msio na fadhila ht kdogo kuna rais anayepaswa kupendwa nakuheshimika km kikwete...aliyeboresha maisha ya watz nakuwa ktk madaraja matatu...kati juu na chin...ni rais gan alishawah kuyafanya hayo..why rais wetu leo atukanwe natushabikiee

    ReplyDelete
  9. Nyie wasenge hapo juu nahis mtakua machinga wa kariakoo na vibaraka wakile chama cha wendawazmu wenye fujo hapa tanzania...kagame hoyee mkundu wako eti kikwete hana lolot nyny ni wasenge tena msio na fadhila ht kdogo kuna rais anayepaswa kupendwa nakuheshimika km kikwete...aliyeboresha maisha ya watz nakuwa ktk madaraja matatu...kati juu na chin...ni rais gan alishawah kuyafanya hayo..why rais wetu leo atukanwe natushabikiee

    ReplyDelete
  10. wooote wasengewasenge maana huyo kagame kutishia watu ili iwe nini?ikumbukwe ni wao ndio wenye matatizo. naushauri walopewa ni wakujaribu kuondoa tatizo lililopo..iwapo hataki ushauri alopewa angeukataa si kutukana. asitukane mamba kabla hajavuka mto

    ReplyDelete
  11. kweli ndugu yangu hilo senge lazima tulitilie wasiwasi na uraia wake.tazama mpumbavu mwengine eti kikwete kawa ignore wananchi wake. je?walichofanya kilikuwa sawa?

    ReplyDelete
  12. Angarisho wa ndugu wa TZ, Hamumufamu huyu Kagamé ni munyama gani!!! hawo wote wamteteyao ni wandugu zake na walisha waingiliya tayari. Hunyeshewa huona, na huambiliwa husikia!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad