SOMA BARUA ILIYOANDIKWA NA MFUNGWA WA MADAWA YA KULEVYA KUTOKA TANZANIA HUKO HONG KONG-MBUNGE KATAJWA

Below is one drug mule story, the story of mules from Tanzania entering Hong Kong. Because of its location on the East coast of Africa, Tanzania is the favorite launching place for drug lords to mission their mules. The drugs they carry are mainly from Pakistan and Afghanistan....taken by boat to Tanzania ....meeting small boats along Tanzania's long coastline

In Hong Kong there are currently about 200 inmates from Tanzania. About 130 convicted and about 70 on remand  (...unofficial figures..). In May-June 2013, some 50 Tanzanians were arrested in Hong Kong and China

Those convicted serve a minimum time of about 9 years if they plead guilty. They serve 21 years if they don't plead guilty (but drugs are found in their possession)

The story of these Tanzanian mules entering Hong Kong is typical of what happens around the world. Hopefully this story will be seen by many people in Africa, especially in Tanzania, and will discourage others from becoming mules. If this article stops even one person from being a mule, it is worthwhile
 Here is the story, written in Swahili by a Hong Kong Tanzanian inmate, translated into English by another inmate. The story names and shames some very important people in Tanzania:





Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duuu hatareee na inasikitisha sana

    ReplyDelete
  2. Yaani RICHARD MZIRAY unawaharibia Watu maisha

    ReplyDelete
  3. hii inatia uchungu sana. sasa kama kweli wakina Kova wameahidi kuteketeza hii biashara hebu basi tuone action watakayo chukua kuwakamata hawa madrug barons au ndio itaishia tu kuwakamata wavuja jasho tu.

    ReplyDelete
  4. Jamaa amesema kuwa hao watu wote polisi wanawajua tena mizigo yao inasindikizwa na jeshi ikiingia nchini na namuamini anachosema..Je inakuwaje awa polisi wanasema awawajui hawa watu..Ukweli ni kwamba hakuna atakaekamatwa kati ya hao waliotajwa wataonga polisi pesa za kutosha na itaishia juu juu sababu polisi na viongozi ndio waharibifu wa kila kitu ktk nchi hii kwa maslai yao binafsi

    ReplyDelete
  5. Wadau selikali inawajua wote

    ReplyDelete
  6. Vigogo wa serikali wanahusika na biashara hii, ndiyo maana haidhibitiwi waliotajwa ni thumni tu ya wahusika. Hata hivyo tutambue kuwa SHETANI ndiye mtawala wa DUNIA hii na hutumia MILIKI yake kuwavuta wasio mcha MUNGU kuendeleza vitu vyenye madhara ili ASIENDE pekee yake JEHANAMU kwani hata VIONGOZI wa DINI wanafanya biashara hii na watu wanafahamu, lakini NANI wa KUMFUNGA PAKA KENGELE?

    Baba RAHMA

    ReplyDelete
  7. Huyo nae anajishaua nnyege zake na njaa kama angefanikiwa wala hasingewataja! Hana lolote pussy

    ReplyDelete
    Replies
    1. We hujii shida inakufanya ufanye kitu usichopenda we sa hz unaongea shombo tu huna akil ht kidg hali ya ajira nchin ndio chanzo jamn unaweza kusema co lazm tuajiriwe wote ila mitaji inatoka wapi so be carefull with ur mouth think berofe u talk

      Delete
    2. Berofe think ndo nini! Nanyi pia machizi! Mbona c hatujafanya biashara hizo c angerudi kijijni akalime! Anafanya kazi mlemavu wa miguu sembuse ye mwenye miguu na mikono! Kwani cc hatutaki pesa ya mkato! Narudie tena ni nyege na tamaa tena huyo angenyongwa ili liwefundisho kwa wengine na angefanikiwa wallah angetukanyaga na gari ila mungu aliliona ilo ndo mana akakamatwa pussy yeye na wanaopenda kuwamapunda

      Delete
  8. wewe AnonymousJuly 27, 2013 at 10:26 AM acha lugha zisizokuwa na maana
    mm nampongeza kwa jinsi alivyoelezea ni kweli alikuwa na shida lakini afadhali amekamatwa na kuwataja wahusika halafu tuone serikali itachukua hatua gani

    hao watu wa serikalini wote wawajibishwe kuwa watu wametajwa tunaishi nao mtaani kwetu kuna mtu anaitwa chonjichi na kanluza hawa mm nawajuwa 100% ndio issue zao vijana wengi wamefungwa kwa ajili ya hawa wasenge tena huyo chonjichi ndio anashirikiana na riziwan kikwete

    ReplyDelete
  9. inasikitisha sana, nyie mambulula mnaongelea kama jamaa angewin, au njaa zake ndo zimempeleka huko bado hamjui bado nin maana ya familia ndo maana mnaropoka. Nawaombea yawakute mjue madhara na uchungu wa kutawaliwa na madawa.
    Ntasaidia niwezavyo kusambaza baru hizi za kiswahili ili watazania wajue ni kias gan tunapotea

    ReplyDelete
  10. Poleni sana watanzania mlio kamatwa na madawa. Hongera kwa uamuzi wako washare ukweli natumai kuna wengi utakuwa umewaokoa kwa barua yako ..na kunawajinga wengi pia hawatukuelewa kama huyo mdau aliekuita Pussy hapo juu na kuwa unanyege !!

    Serikali haitofanya chochote kwa hao watu zaidi ya kukudharau . ila umewaelumisha wengi ndugu yangu natumai hata Mungu wetu amekusamehe kwa kosa ulilo fanya na atakulindia familia yako inshaallah.

    Zidi kumuomba Mungu huko ulipo umalize kifungo chako urudi nyumbani kuilea familia yako ,pia natumai umejifunza kuwa kula kidogo ulale mapema . madada na makaka acheni kabisa mambo ya madawa coz hayana mwisho mwema na pia yanauwa watu sana!
    Sirikali acheni huu mchezo mnaitia nchi yenu kasoro na umaskini mkubwa. very sad !

    Hali Africa no ngumu sana,maisha ya dhiki sana. Mimi kusema kweli Africa nitarudi kutembea sio kuishi and labda nirudishwe ila kwa amri yangu hell to the No!



    Onyinye.

    ReplyDelete
  11. dah haya sasa polisi semeni tena wananchi hawatoi ushirikiano. hii nchi imeoza jamani hawa yangeyange wanatuuza wandugu vijana tuamke tupambane ukombozi wa nchi yetu, huyu jamaa yuko jela msiangalie makosa yake angalieni nia yake alokua nayo sasa, anataka ushirikiano huyu. kama raslimali za nchi hiizingekua zinatumiwa poa watu wangekua na ajira zao na hii hali isingekua kubwa hivi, kuna tetesi eti mtoto wa mkubwa nae alidakwa china nini ili asinyongwe nini manegosiation nini ful mikataba nini hu haa wanakuja bongo kama kwao mabisness nini mabidhaa wanaleta tu kwa masherti nafuuuuu kabisaa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. We mdau umeongea point. Vijana tuamke kesho ni yetu cyo ya hao mababu wasenge.

      Delete
  12. karatasi za bongo hzo

    ReplyDelete
  13. awe kabuni tu au iwe ni kweli... ukweli unabakia pale pale kuwa hii bihashara ni ya watu wakubwa na wanajulikana na wanalindana, bora uko hong kong ..waendelee kukamata watu na china wa waendelee kunyonga tu,,,,sisi Tanzania tuendelee kuwa nyuma kila kitu....NAWACHUKIA SANA VIONGOZI WOTE WA JUU

    ReplyDelete
  14. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  15. Eti kabuni...... upuuzi tutambue sote tunapaswa kupigana katika vita hivi....... we unayesema kabuni ni kwa vile haijakutokea wewe na hakuna ndugu yako aliyekamatwa nje ya nchi kwa suala hili.....taifa linateketea na huku wengine wanafurahia..... mimi na wewe tuamke na kupiga marufuku na kupaza sauti zetu juu ya hili jambo na kukataa madawa ya kulevya.......wengi sana hapa Tanzania wanatembelea magari ya kifahari na kufurahia kuteketeza taifa..... Heri mungu ashuke na kutoa hukumu zetu.... Taifa limeoza kila Nyanja kuanzia serikali mpaka vyombo vya siasa mpaka kwenye dini tunanuka kuanzia maofisini mpaka majumbani mwetu.

    ReplyDelete
  16. Thank you for posting this story ...the more bloggers who post this story the better....will help spread the message about the huge risk of taking drugs to Hong Kong.

    Your post (with so many comments!) is now linked on my original story "Drug Mules" at:
    http://v2catholic.com/johnw/2013/2013-07-21drug-mules.htm

    Fr John (a prison chaplain in HK)

    ReplyDelete
  17. daaaaah life letu na ukosefu wa ajira ndicho kinachotutesa watanzania..jaman..ila tanzania ni nchi yenye fursa jaman tuzitumie

    ReplyDelete
  18. daaaaah life letu na ukosefu wa ajira ndicho kinachotutesa watanzania..jaman..ila tanzania ni nchi yenye fursa jaman tuzitumie

    ReplyDelete
  19. Kama huna chakuchangia ungekaa kimya, mwenye mamlaka kasema nitawashika nikiwakuta on action, sasa uyo anavo jianzishia tu cjui nani nanani,matako yake,naongea kwa uchungu maana watu wengine aliowataja, sio wahusika kabisa, au walikuwemo zamani lkn walipopata mitaji,waka shit, sasa wewe ,mtaji huna ndomaana unalopoka lopoka tu kumamae, wataje hao wakina Riziwani kama utatoka uko jela mbwa wewe.

    ReplyDelete
  20. Huwezi kukamata mtu kwa Rumors,that will be ridiculous, usione mtu ana hela basi anauza unga,uyo jela uko kumemchanganya, sasa anataja tu hata kama mtu alimnyima kazi ofcn kwake.
    Hata kama kataja majina, hana evidence yoyote kumamae nyoko uyo, usianike majina ya watu wenye heshima zao, bwege we! unawadharirisha punda wewe.

    ReplyDelete
  21. Watu mnataka njia za mkato ndio faida yake , lakini kutaja pia ni haki yake, watu msimtukane kama ukweli upo utadhihirika tu.

    Tanzania fursa zipo nyingi hatutaki kuzitumia .

    ReplyDelete
  22. jamani hivi boko haramu hawana tawi tz nami nijiunge coz yote hayo ni ukosefu wa ajira,na ajira zenyewe wanapeana wachache kwa kujuana.hasa hawa ambao hawafaamiki.wafanye kazi gani,acha wasafirishe madawa wakikaatwa hiyo ajali kazini baba,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad