Katika pita pita zetu leo hii tuliweza kupata ujumbe mmoja mzito
na wa kutia moyo toka kwa mwanadada Irene Uwoya aliomwandikia mkongwe
wa bongo movies nchini kwa upande wa kinadada Blandina Chagula maarufu
kama Johari wiki chache zilizopita.
Ujumbe huu wa Irene ni ujumbe wa kutia moyo na unaweza kuwa kama
“Motivation message” kwa wadada wengi hapa mjini ili badala ya kukaa na
kuwaza kupata mali au mafanikio kwa njia za mkato au zisizo halali basi
wafanye kazi kwa bidii ili kujikwamua kiuchumi.
Tukinukuu ujumbe huo Irene kwa Johari aliandika….
“Wewe nimwanamke wapekee...mchapakaz sana...atawaongeee
vp kaza moyo...one thng u hav to know if God say yes no body I mean no
body can say no...so don gv r f*ck
Hii inawahusu wadada wote jamani. Nyie ni wanawake wapekee,
wachapakazi, kazeni moyo. If God say yes, nobody can say no (Mungu
akisema ndio hakuna awezaye kusema hapana)