Uchaguzi
uliofanyika leo Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani wa Kata
Nne --Themi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha
umemalizika.
Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiri wa kuwatangaza rasmi
washindi, taarifa za awali zinasema kuwa CHADEMA imepata ushindi kwa
kunyakua Kata zote Nne.