Wema alitupia picha yake kwenye mtandao wa kijamii akionekana amekata nywele zote huku akiwa ameondoa kope za bandia na kutoa kucha alizobandika kuashiria kuuheshimu mwezi huu huku akibaki na kila kitu cha asili yake.
“Mwezi Mtukufu ni wa kuheshimiwa na kuweka kila kitu pembeni, nafurahi kuwa hivi kwa maana hata kama nikifunga swala zangu zitapokelewa vizuri,” alisema Wema.
Gud madame wema luv u mingi mingi
ReplyDeleteThat's nice dear get away from shaitan
ReplyDeletehakuna lolote malaya tuu huyo!!
ReplyDeleteThats good,keep it up.
ReplyDeleteMmmmmmmmmm ukiisha mwezi bhaaaaas
ReplyDeleteHaisadii kitu hata angejichuna na ngozi haisaidii kitu mnafiki mkubwa, dudu limetombwa mpaka limekuwa jeusi kama mkaa.
ReplyDeleteHongera mamtoo,waache wakusema wasemayo mungu ni mwema anakujua,binadam sie midomo mali yetu,go ahead et wema
ReplyDeleteMbona ngozi ya bandia hajatoa au umesahau kuwa hana ngozi ya asili (mkorogo)
ReplyDeletemi nashangaa...hizo picha si mziweke kama ushahidi ndio tuamini acheni kufanya mambo kienyejienyeji.
ReplyDeleteme hilo likenge hapo pemben yake cjui BILAL ptyuuuuuuuuuuuu limekutengua udhuuu kabsa
ReplyDeleteMshukuru Mungu Wema kwa kuwa ameingia kwenye akili yako na kukukumbusha juu ya uwepo wake na wajibu wako kwake, mwanzo mzuri ku uheshimu mwezi mtukufu wa Ramadhan na muombe mungu akufungulie zaidi ili maisha yako ktk siku zote za mwaka uonyeshe utii huu, chagua mmoja akuoe, uishi kwa kufuata amri zake na fanya biashara zako zote zilizo halali na mungu atakuzidishia
ReplyDeleteAoteshe kabisa na hizo nywele (kope za macho) alizokwangua.
ReplyDelete