Wema katika pozi linaloonesha mapaja yake jinsi yalivyoharibika.
Baada ya staa huyo wa filamu za ‘kikwetukwetu’ kuulizwa na kujibu
hivyo wikiendi iliyopita, alitundika picha nyingine kwenye ukurasa wake
katika mtandao wa kijamii wa BBM zikimuonesha akiwa nyumbani kwake,
Kijitonyama jijini Dar huku madhara ya mkorogo yakionekana waziwazi
kwenye mwili wake.
..Mapaja ya mrembo huyo.
Baadhi ya marafiki zake walianza kujadili namna alivyoharibika na
wengine kudai matumizi ya vipodozi vikali maarufu kwa jina la mkorogo
ndiyo vimemfanya apasuke kiasi hicho.Wema, baada ya kupokea maoni mengi juu ya picha hizo mengine yakiwa ni ya kejeli, aliwajibu kwa kuandika kuwa hataacha matumizi ya mkorogo hadi maduka yanayouza yafungwe.
Wema alipotafutwa na gazeti hili ili aweze kuweka wazi madai haya hakutoa ushirikiano kufuatia simu yake ya kiganjani kuita muda wote bila kupokelewa.
Source:Global Publisher
Kila mtu anauhuru wa kufanya anachojickia
ReplyDeleteVizurii sana nmelipenda jbu lake maana wamezidii kumuandama kwani ni yy tu peke yake anaetumia mkorogo wapo wasanii kibao wanatumia ila wamemuona wema tu
ReplyDeletengozi imesha expire,alikua bint mzuri sema ulimbukeni umemharibu na sioyeye tu madada wote wanaopenda kua weupe wamepoteza mwonekano.
ReplyDeleteNgozi yako tayari imeaathirika ..kusema hivo unamfurahisha nani?
ReplyDeleteNgozi km kenge
ReplyDeletemnawashwa hii ni michirizi ya unene unapotumia chubu ngozi inaachama tena ila kuhusu michiri mfuhue meo kama ameanza kunenepa uone kwenye hips na gotin hana michirizi?mimi situmi ila michiri ya hips ninayo inamaanisha kuwa ninaongfezeka
ReplyDeletejibu alilowapa la tosha kila ppl na urembo wake
ReplyDeleteWhat on earth as this world turn into.LESA SOMONE. INDEED THE CREATOR SHOULD COME AND RESCUE THIS WORLD...
ReplyDeleteWhat on earth as this world turn into.LESA SOMONE. INDEED THE CREATOR SHOULD COME AND RESCUE THIS WORLD...
ReplyDeletejifariji mrembo coz huna jinsi ya kuirudisha hiyo ngozi...
ReplyDeletemmh ukisikia majanga ya ngozi ndo hayo
ReplyDeleteVericose Vein mwanawane kwa wale wenye rangi nyeupe is easy to see them hata angekua hatumii mkorogo hiyo michiz bado angekua nayo mauneneee hayo,ila jamani africa si free country mwacheni akikoboe kwa raha zake.
ReplyDeletemmmmmmmmmmmmmmh we are getin tired of the same stories dat her lyf kusuka ama kunyoa and ndivyo alivyojichagulia kuishi kwenye hii dunia
ReplyDeletestay natural!
ReplyDeleteKwan mkorogo unauacha au unakuacha?? Mkorogo ukikuamulia hata utumie wa milion kwa wik utadunda..
ReplyDelete