STAA wa sinema za nyumbani, Jacqueline Wolper amemtemea cheche msanii
mwenzake, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ kuwa anatafuta ustaa (kiki) kupitia
jina lake
Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti cha Stori 3, Wolper alisema
anamshangaa msanii huyo kumsemea vibaya, kutoa lugha ya matusi mtandaoni
bila sababu za msingi
“Namshangaa Baby Madaha kwa aliyoyasema kuhusu mimi, anatafuta kiki.
Watu wanafahamu mimi ni staa kuliko yeye kwa hiyo sidhani kama ana
sababu ya kugombana na mimi,” alisema Wolper.
Wote hao malaya tu kama mmekosa kazi mlajiuze maana fani imewashinda
ReplyDeletesamson ndaro; ubishi hausaidii kwani nini mnachokitaka au mmegombania wanaume kwani nanyi si ni malaya 2
ReplyDeletesamson ndaro; ubishi hausaidii kwani nini mnachokitaka au mmegombania wanaume kwani nanyi si ni malaya 2
ReplyDelete