BAADA YA KUTOLEWA BBA FEZA KESSY NA NANDO WANAWEZA PATA DEAL HII

Kessy na Ammy Nando kutoka kwenye jumba la BBA, nafasi yao kuongeza figures kwenye bank account zao kutokana na mashindano haya bado ipo. Unaambiwa mmoja kati ya Big brother housemates atachaguliwa kuwa brand ambassador wa  kampuni ya RLG communications ambao ni wauzaji wa Uhuru tables  na pia ni co-sponsor wa BBA The Chase.
RLG communications wamekua wanatoa zawadi za tablets kwa watu wanaowapiga kura kwa washiriki wa Big brother, lakini mpango wao hivi sasa ni kumchagua mmoja kati ya washiriki wa BBA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad