Akizungumza jijini Dar es Salaam Chiwaman aliweka wazi kuwa msanii huyo Nasry ambaye alimuomba Rose aweze kushiriki kwenye video yake, walishindwa kufikia maamuzi kutokana na kiwango cha malipo kuwa madogo, na badala yake msanii huyo alimuomba wapige picha kama ukumbusho.
Alisema kuwa kitendo hicho cha kupiga picha na msanii huyo wakati wapo katika mazungumzo ya awali ya kukubaliana malipo ndizo picha alizotumia msanii huyo na kudai kuwa alikuwa naye nyumba ya wageni kitendo ambacho si cha kweli.
"Hawa wasanii wachanga wanatafuta umaarufu vibaya kwa kuwachafua watu, ilikuwa amemuomba Rose ashiriki kwenye video yake na ndipo walipokutana kwa ajili ya mazungumzo hayo na alikuwa na mdogo wangu sasa hapo masuala ya gesti yametokea wapi" alisema Maliki.
Aliongezea kuwa "kama nilikuwa sijui hicho kitu na kwa jinsi mambo yalivyokuwa ningeweza kumuacha mchumba wangu ninayempenda kwa dhati, ila msanii huyo alichokifanya siyo jambo sahihi, kwani alimuomba apige naye picha na Rose alikubali huku bila kujua nia yake ".
Maliki alisema kuwa huyo msanii anatafuta umaarufu kwa kuchafua majina ya watu wengine, kitu ambacho hakina mashiko kwenye jamii.
HUYU NASRY MBONA ANAKUA KAMA SHOGA,ANGEFANYA HIVYO KWA MTU WANGU NINGEMLA TIGOKITEMI HALAFU NINGEZIWEKA KWENYE NET.
ReplyDeletekwa hiyo aliomba kupiga picha na mchumba wa mtu gesti tena na baibui ya kininja mwanamke kajifunika mpaka uso mmh can't buy that utetezi labda jamaa aseme tu kama amemsamehe na zile kondom chumba cha gesti.....mume bwege
ReplyDeletendio dawa ya wasanii kama hawa,sikuzao zinakaribia watakua hawafanyi usenge kama huu tena.
ReplyDeleteHuyo mumewe bwege2 hizo kondom pembeni alikua anapuliza kama puto huyo mkewe ,safi sana dogo ,Tuma ile uliokua unakula tunda alf tumsikie atašémaje.
ReplyDeleteHASWAAA JOMBA NALO NENO.
DeleteMUME BWEGE AENDE KIJIJINI KUOA SIYO KUKOMAA NA WENYE SIFA ZA KUTOKA NA KILA ANAYEMTAKA. KAKA JIPANGE SANA KWA HILO NADHANI UMECHEMKAAAAAAAAAAAAA KABISAAAAAAA ETI UNATAKA UONEKA UNATEMBEA NA MASUPER STAR KAMA HAO UWIIIIIIIII KAMA NI MIMI AFADHALI NIMWOWE MKE ASIYEJULIKANA KABISAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!
Maongezi gani gest mchumba wa mtu na kwa nn avae ninja ajifiche na huko chumba vp?hapo kuna utata mwana ucwe bwege jaribu kufuatlia kwa makini duh mambo mengine huitaji hata kufika chuo kikuu unapata jibu.
ReplyDeleteMmh! Picha ya ukumbusho guest!! Noma kweliii!
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletejamani wa dada wa movie basi tubadilike sasa imefikia hata kuvaa kininja kwenje gest? halafu maongezi hayo yapi huko kwa kulala wageni wewe mchumba wa mtu??????????
ReplyDeletewoote mnao msapot huyo dogo ni pumbavu.kwani kumduu mwanamke ndiyo matangazo ya biashara.naye atanaswa na kuliwa ndogo tumuanike
ReplyDeletedah hapo mzazi umechemka , ishu si kumsapport dogo , ishu jamaa antudanganya huku tunaona , utaendaje kuongea gesti hii si ndo kama ishu ya jack wa chuzi alojidai eti alienda hotel kuonana na fani wake na [icha za uchi zikavuja tukajiuliza sas ilikuaje ? ndo wale wale , wacheni kushobokea mastaa ni skendo tupu
ReplyDelete