Kupitia kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen, Diamond amefunguka kuhusu sababu ya yeye kuchelewa kupanda stejini.
“Nililipwa pesa nusu, nikawa natakiwa nikifika Nairobi nimaliziwe pesa yangu yote iliyobaki lakini baada ya kufika Nairobi nikafanya show nikapewa pesa tena nusu iliyobaki sikupewa,” amesema Diamond.
“So kufika Mombasa nikasema siwezi kupanda kwenye stage mpaka nimaliziwe pesa yangu sio, kwasababu ilikuwa imebaki kama dola elfu sita na kitu, saba kasoro hivi. Nikasema mpaka nimaliziwe pesa yangu ndio nipande kwenye stage. Sababu kulikuwa na uongo uongo kidogo, ‘ukishuka utapewa’ unajua sisi wasanii tulishadhulumiwaga sana, mtu huwezi kumwamini kwamba upande stejini halafu ushuke, lazima upewe chako.
Nikasema ‘mimi nataka mnilipe hela yangu ndio nipande kwenye stage’. Halafu wakati huo show imejaa, sijawahi kuona show iliyojaa hivyo. So baada ya kukamilishiwa pesa yangu ndio nikatoka nikaenda stejini saa tisa hiyo na kitu. Before kabla sijafika watu walikuwa wameshaanza kufanya vurugu, watu walipiga machupa nasikia, vurugu kinomanoma. Lakini namshukuru mwenyezi Mungu nilipofika mimi zile jaziba zote zikapungua watu walikuwa na mizuka.”
before kabla sijafika!!! we mavi sana!
ReplyDeleteJEMBE JIKE
wee jamaa bwege sana umemtukana nani sasa wewe ndo wale ambao hamjielewi'mtu ametoa chake cha moyoni.sungura wee usirudie tena kutoa matus.
ReplyDeleteSawa jembe unachukua chako then unawafanyia kazi yao jamaa sungura sana hao!
ReplyDeleteHahahahahhahahaha noumaaarrrr sanaaaaaaaa!!!
ReplyDeleteKumbe Diamond anategeneza pesa kubwa sana kwani iwapo dola hizo elfu saba zilizokuwa zimebaki ilikuwa ni kama robo malipo, basi trip hiyo alilipwa dola 28000. Ni hela ya nguvu sana kwa kazi ya siku mbili wakati kiingilio pale Mombasa kilikuwa KSh 600 tu.
ReplyDeletemmmm umezid chelewexha newz...auko update
ReplyDeletealikuwa anatombana na mdemu wa kikenya kwan hamjui mxiiiu awadanganye nyie
ReplyDeletePambafuuu zenu na huyo diamond wenu
ReplyDelete