Mrembo Doris Molel usiku wa kuamkia leo ametwaa Taji la Miss Ilala kwenye kinyang’anyiro kilichopfanyikia Ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar es Salaam. Katika kipute hicho wanyange 13 walikuwa wakiwania taji hilo. Yafuatayo ni baadhi ya matukio yaliyojiri.
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL