Kuropoka acheni, unapoambiwa bei ya gari ongeza nauli ya gari ongeza inspection, ongeza insuarance kwenye meli ongeza kodi, anaekudanganya m3 basi kila mtu angenunua na foleni ingeanzia kitandani.mwenye macho na aone.mbwembwe za oh niko uingereza mbona huwaelezi haya?
Kwa sisi wanafunzi tuliosoma uingereza hatuna mahushuru hayo tukionyesha document za uanafunzi,gari linatereza free toka nandarini bongo mpaka unapoishi,ushuru free.utalipia hela kiasi tu za mambo mengine
Watanzania amkeni ,usije ukaliwa bure hiyo gari sio ya kununua milioni 12 ,labda uwapelekee mererani au shinyanga migodini maana hela zao hazina kazi ,hiyo gar mtu akitaka anapata kwa milioni 9 tu .....nitafuteni mm mtapata gari nzuri ,karibuni magomeni mtapata gari nzur uliza magomeni kwa Dulla
Wadau huyu jamaa ni mfanya biashara ni haki yake kuuza bei anavyotaka. Magari ya ulaya yatakupa tabu sana, kwanza mengi yametengenezwa kwa ajili ya mazingira yenye baridi,gari muda wote lina joto tu ukichanganya na hali ya hewa ya dar ni balaa. Spear pia ni issue, ukihitaji lazima uagize Europe.Lakin kwa upande mwingine magari ya Europe ni imara sana
Acheni mbwembwe nyie mnasema mko uingereza kwani ukinunua gari ulaya utaituma kama msg ifike bongo?Nauli ya kusafirishia,kuisajili na ushuru wa bandarini mnajua inacost bei gani?Ukiona gari linauzwa milioni 3 nje jua limetengenezwa kuanzia mwaka 2002 kurudi nyuma je unajua ushuru wa gari chakavu kama hilo pale bandarini?Nyie ndo wale mnaoagiza magari kwa kufuata wepesi wa bei ya kununulia bila kuangalia ghalama nyingine zitakavyokua juu.Magari yanauzwa kulingana na umri wake ndio maana huko mnakosema ulaya na japan yapo magari yanauzwa mpaka milioni 20 lakini bongo utapata kwa milioni nane tofauti ni mwaka ambao gari imetengenezwa.Isitoshe mwenye gari kasema bei inaanzia sh 12M inamaana bei inapungua.Au kama vipi nyie wa ulaya tuleteeni hizo gari za sh 3M ili kila mtu amiliki yake km zilivyo simu za mkononi
si bora niagize japancar trade view,m 3 namaliza kila kitu
ReplyDeletebei gani?
ReplyDeleteJamani huku uingereza gari bomba liyoenda shule unapata kwa million 3,pound 1500.
ReplyDeletehebu tupe link ndugu yangu
Deletemnaouliza bei, mbona imeandikwa au kusoma shida
ReplyDeleteKuropoka acheni, unapoambiwa bei ya gari ongeza nauli ya gari ongeza inspection, ongeza insuarance kwenye meli ongeza kodi, anaekudanganya m3 basi kila mtu angenunua na foleni ingeanzia kitandani.mwenye macho na aone.mbwembwe za oh niko uingereza mbona huwaelezi haya?
ReplyDeleteKwa sisi wanafunzi tuliosoma uingereza hatuna mahushuru hayo tukionyesha document za uanafunzi,gari linatereza free toka nandarini bongo mpaka unapoishi,ushuru free.utalipia hela kiasi tu za mambo mengine
DeleteNi kweli magari cheap na million tano unaweza kuleta gari we apo usiwajbu vibaya. Million kumi na mbili hyo gari ilipgania Uhuru
ReplyDeletehahahaha mdauuuuu
DeleteMil 12 it's too much for used car.
ReplyDeleteWatanzania amkeni ,usije ukaliwa bure hiyo gari sio ya kununua milioni 12 ,labda uwapelekee mererani au shinyanga migodini maana hela zao hazina kazi ,hiyo gar mtu akitaka anapata kwa milioni 9 tu .....nitafuteni mm mtapata gari nzuri ,karibuni magomeni mtapata gari nzur uliza magomeni kwa Dulla
ReplyDeleteWadau huyu jamaa ni mfanya biashara ni haki yake kuuza bei anavyotaka. Magari ya ulaya yatakupa tabu sana, kwanza mengi yametengenezwa kwa ajili ya mazingira yenye baridi,gari muda wote lina joto tu ukichanganya na hali ya hewa ya dar ni balaa. Spear pia ni issue, ukihitaji lazima uagize Europe.Lakin kwa upande mwingine magari ya Europe ni imara sana
ReplyDeleteAkamuuzie bibi take twelve,c kivitz cha Nissan hicho,ma vi ya kuku
ReplyDeletewe anonymous wa August 23, 2013 at 9:35 PM somebody Dulla wa magomeni embu toa namba ya simu tufanya biashara
ReplyDeleteAcheni mbwembwe nyie mnasema mko uingereza kwani ukinunua gari ulaya utaituma kama msg ifike bongo?Nauli ya kusafirishia,kuisajili na ushuru wa bandarini mnajua inacost bei gani?Ukiona gari linauzwa milioni 3 nje jua limetengenezwa kuanzia mwaka 2002 kurudi nyuma je unajua ushuru wa gari chakavu kama hilo pale bandarini?Nyie ndo wale mnaoagiza magari kwa kufuata wepesi wa bei ya kununulia bila kuangalia ghalama nyingine zitakavyokua juu.Magari yanauzwa kulingana na umri wake ndio maana huko mnakosema ulaya na japan yapo magari yanauzwa mpaka milioni 20 lakini bongo utapata kwa milioni nane tofauti ni mwaka ambao gari imetengenezwa.Isitoshe mwenye gari kasema bei inaanzia sh 12M inamaana bei inapungua.Au kama vipi nyie wa ulaya tuleteeni hizo gari za sh 3M ili kila mtu amiliki yake km zilivyo simu za mkononi
ReplyDelete