Unaambiwa kwa muda wa miaka kumi mshiriki huyu ambaye ni video vixen mwenye umri wa miaka 21 ndiyo ameweka rekodi ya kutokuwa nominated ili apigiwe kura za kutoka. Lets wait kuona kwamba bahati yake itambeba na kushinda huu mzigo wa dola kutoka BBA.
HUYU NDIO MSHIRIKI WA BIG BROTHER AMBAYE HAJAWAHI KUWA NOMINATED TOKA BBA IANZE
2
August 14, 2013
Hivi
unaweza kuamini mshiriki huyu ameweka rekodi ya BBA house baada ya
kutokuwa nominated kwenye jumba la BBA tangu mashindano yaanze. Kitu
kikubwa wanachokiangalia watu hivi sasa ni kama anaweza kushinda zawadi
kubwa ya BBA The Chase kwasababu kama bahati anayo, hapa namzungumzia Beverly mshiriki kutoka Nigeria.
Unaambiwa kwa muda wa miaka kumi mshiriki huyu ambaye ni video vixen mwenye umri wa miaka 21 ndiyo ameweka rekodi ya kutokuwa nominated ili apigiwe kura za kutoka. Lets wait kuona kwamba bahati yake itambeba na kushinda huu mzigo wa dola kutoka BBA.
Unaambiwa kwa muda wa miaka kumi mshiriki huyu ambaye ni video vixen mwenye umri wa miaka 21 ndiyo ameweka rekodi ya kutokuwa nominated ili apigiwe kura za kutoka. Lets wait kuona kwamba bahati yake itambeba na kushinda huu mzigo wa dola kutoka BBA.
Tags
ameshakuwa nominated mara kibao but swapped o anakuwa head of da house so anajisave
ReplyDeletesema hsjawai kuwa in possible eviction
alafu she wil nvr win maana naija wanataka Melvin na wao wako wawil so kura zao zitasplit.
Bev was using Angelo to get vote i wonder alichokuwa anafanya inside da houz was boring
Sio kwamba anamvuto sana ndo mana hajawai kuwa nominated bt ni kutokana na kutokueleweka kwakr ndo mana hana hata intention ndani na nje ya mjengo.. ila hata akishinda c vbaya mana at the end of the day mshindi lzm apatikane
ReplyDelete