Mtusi hana tofauti na Hitler. Huyu jamaa ana roho mbaya sana....mtazame sura yake utagundua ukatili ndani yake. Mtusi haamin km kuna binadamu ana akili km yeye, wala mstaarabu km yeye! Wacha azomewe tu...
Duh aibu yake!!! Askari wa huko wako cool sn?! Na vurugu zooote wako mikono mitupu silaha zipo kiunoni???????Najaribu kuifanya hio picha ingekua hapa kwetu hahahaaaaaaa cpati picha !! Mmmmmmh ripoti baadae walioumia na vitu vizito vinavyosadikiwa ETI ni risasi.... Hahahahaaaaaa.....
Ni aibu kwa Rais kama huyu kurushiwa makopo ya maji hiku akizomewa,ajirekebishe hasa kuhusu suala la congo!
ReplyDeletePoor kagame...
ReplyDeleteajipange
ReplyDeletechizi kagame
ReplyDeleteBuuuuuh buuuuh!
ReplyDeleteNyambafu,si bora hata mgepata Kiongozi kama huyu akapambana na ufisadi? Uchizi wake nini sasa,comment za hovyooo!
ReplyDeleteKama wewe ni mnyarwanda basi utarlewa why Kagame ni muuwaji. kama wewe si mnyarwanda basi waelewe wanao mpiga mawe! So happy kuona hii video:)
ReplyDeleteHuyu nidictator na ameshiriki kuleta vurugu kubwa huko Congo.
ReplyDeleteMtusi hana tofauti na Hitler. Huyu jamaa ana roho mbaya sana....mtazame sura yake utagundua ukatili ndani yake. Mtusi haamin km kuna binadamu ana akili km yeye, wala mstaarabu km yeye! Wacha azomewe tu...
ReplyDeletekazi kweli kweli
ReplyDeleteDuh aibu yake!!! Askari wa huko wako cool sn?! Na vurugu zooote wako mikono mitupu silaha zipo kiunoni???????Najaribu kuifanya hio picha ingekua hapa kwetu hahahaaaaaaa cpati picha !! Mmmmmmh ripoti baadae walioumia na vitu vizito vinavyosadikiwa ETI ni risasi.... Hahahahaaaaaa.....
ReplyDeletewe malaya umeelewa topic, kilichozungumziwa hspa ni ukatili wake, sasa hata akipambana na ufisadi ndio itafanya awe innocent?
ReplyDeleteWacha anyukwe akili itakuja
ReplyDeleteHuyu ni PAKA TU, Acha wamnyuke.
ReplyDelete