NA HAYA NDO MANENO ALIYO ANDIKA
NIMEONA MUNGU WANGU AKIPONYA WAGONJWA NA KUFUNGUA WALIFUNGWA NA MAGONJWA SUGU....
NIMAOMBI YANGU JUMAPILI YA LEO, KILA JAMBO LILILOKUSUMBUA KWA MDA MREFU,IWE NI
UGONJWA,SHIDA YA NDOA,KAZ,BIASHARA,MASOMO,LAANA,NK,MUNGU WANGU AKUHURUMIE NA UPOKEE UPONYAJI. tamka maneno haya kwa imani rafiki Yangu .NIMAOMBI YANGU JUMAPILI YA LEO, KILA JAMBO LILILOKUSUMBUA KWA MDA MREFU,IWE NI
ASANTE MUNGU KWA KUNIHURUMIA,NIMEPONYWA
Ubarikiwe kaka! Sifa apewe mwenyezi Mungu.
ReplyDeleteGia ya kutoka kimaisha tu hana lolote
ReplyDeleteAtoke mara ngapi? cyo bure una pepo
Deletehana lolote anatafta kutoka kwn alianza kuigiza af akaenda kwny bongo fleva akaona hailip akaimba kwaya na sasa kawa mchungaji kwl pesa mbele
ReplyDeletehana lolote anatafta kutoka kwn alianza kuigiza af akaenda kwny bongo fleva akaona hailip akaimba kwaya na sasa kawa mchungaji kwl pesa mbele
ReplyDeleteMbona alishatoka siku nyingi....msipende kumhukumu mtu, hufahamu yaliyo ndani yake
DeleteJamani Naomba msaada,niko ulaya mengi yananipita,hiki ninachoona ni maudodo au kitu real?masanja mkandamizaji ni muhubiri Siku hizi?nijuzeni wadau
ReplyDeleteNi maigizo sorry sio maudodo,Huyu si masanja wa vichekesho tbc?nijuzeni,anaubiri?au ni maigizo?
ReplyDeleteNi maigizo tu kuhubiri akauhubir yy?
ReplyDelete