MLIE TUU ! WASTARA HATAOLEWA BONGO TENA

Na Imelda Mtema
KAKA wa staa wa Filamu za Kibongo, Wastara Juma aitwaye Juma Juma ameliambia Risasi Mchanganyiko kwamba dada yake hatafunga  tena ndoa nyingine hapa nchini.

“Iwapo dada yangu akitaka kuolewa atafanya hivyo Uarabuni siyo hapa kabisa,” alisema kaka huyo na kudai kuwa ameshuhudia mateso mengi ya dada yake kwa wanaume wa Kitanzania.

Kaka huyo amesisitiza kwamba wanaume wasipate tabu ya kumuuliza dada yake kuhusu suala la ndoa kwani watajisumbua bure.
Juma alizungumza kwa niaba ya dada yake ambaye awali alipigiwa simu ili kuulizwa kama alikuwa na mpango wa kufunga ndoa nyingine hapa nchini.

Hata hivyo, Wastara alimwachia kaka yake huyo kujibu badala yake, ingawaje kaka huyo hakufafanua kama dada yake ameshapata mtu wa kufunga naye ndoa huko Uarabuni.

Wastara alifunga ndoa tatu na wanaume tofauti na mume wake wa mwisho alikuwa msanii wa filamu, Juma Juma Kilowoko ‘Sajuki’ aliyefariki dunia mapema mwaka huu.

Source:Global Publishers
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu mdada sasa Kazidi .kwani Mbona si Mzuri

    ReplyDelete
  2. Mhmm na imekuaje afunge ndoa had na wanaume watatu?na bado ana ndoto za kuolewa tena?kweli kuolewa kipaji.

    ReplyDelete
  3. Kwani huko Uarabuni ndo kulikoshushwa wanaume wasiotesa wanawake? Ndoa popote hasa umpate alie RIZKI yako...

    ReplyDelete
  4. Huyo kaka kuisemea nafs ya dadaake, je kama dada hatapendwa na waarabu,atawalazimisha wamwoe dada?,je sajuki alikua mwarabu? Bro aache hizo habar

    ReplyDelete
  5. WE KAKA NAWE NI MTANZANIA MWANAUME AU WE NI SHOGA?NA KAMA NI MWANAUME UPO KWA AJIRI YA KUTESA WANAWAKE WA KITANZANIA?HV HUKO UARABUNI KUNA MANABII WASIOTESA WANAWAKE?HALAFU DADA YAKO ANAONEKANA NDIYE TATIZO KATIKA MAISHA YA NDOA.HV WANAUME WATATU WOTE WAWE HAWAFAI?HUYO DADA YAKO NI KUNGURU ASIYEFUGIKA!!HALAFU WE UNASEMA HAOLEWI NA WABONGO WE UNAKUWA NAE MUDA WOTE? NA JE AKIJA KUOLEWA NA WABONGO HATA HUKO UARABUNI UTASEMAJE?AU AKIKOSEKANA MWARABU WA KUMUOA UTAMUOA WEWE?HALAFU HUENDA MMELELEWA VIBAYA HAMJUI MAADILI.HV UNAWEZA UKAZUNGUMZA MANENO HAYO WE NA DADA YAKO? AENDELEE KUSUBIRIA HAO WAARABU WAKE NA ATASUBIR SANA MWISHO WA SK ATAZEEKA SIJUI UTAMUOA WEWE?AU UTAMTONGOZEA WANYARWANDA WANAOBEMBELEZA USHEMEJI KWETU ILI TUWAPE MADINI NA GESI YETU YA MTWARA?

    ReplyDelete
  6. WE KAKA NAWE NI MTANZANIA MWANAUME AU WE NI SHOGA?NA KAMA NI MWANAUME UPO KWA AJIRI YA KUTESA WANAWAKE WA KITANZANIA?HV HUKO UARABUNI KUNA MANABII WASIOTESA WANAWAKE?HALAFU DADA YAKO ANAONEKANA NDIYE TATIZO KATIKA MAISHA YA NDOA.HV WANAUME WATATU WOTE WAWE HAWAFAI?HUYO DADA YAKO NI KUNGURU ASIYEFUGIKA!!HALAFU WE UNASEMA HAOLEWI NA WABONGO WE UNAKUWA NAE MUDA WOTE? NA JE AKIJA KUOLEWA NA WABONGO HATA HUKO UARABUNI UTASEMAJE?AU AKIKOSEKANA MWARABU WA KUMUOA UTAMUOA WEWE?HALAFU HUENDA MMELELEWA VIBAYA HAMJUI MAADILI.HV UNAWEZA UKAZUNGUMZA MANENO HAYO WE NA DADA YAKO? AENDELEE KUSUBIRIA HAO WAARABU WAKE NA ATASUBIR SANA MWISHO WA SK ATAZEEKA SIJUI UTAMUOA WEWE?AU UTAMTONGOZEA WANYARWANDA WANAOBEMBELEZA USHEMEJI KWETU ILI TUWAPE MADINI NA GESI YETU YA MTWARA?

    ReplyDelete
  7. WE KAKA NAWE NI MTANZANIA MWANAUME AU WE NI SHOGA?NA KAMA NI MWANAUME UPO KWA AJIRI YA KUTESA WANAWAKE WA KITANZANIA?HV HUKO UARABUNI KUNA MANABII WASIOTESA WANAWAKE?HALAFU DADA YAKO ANAONEKANA NDIYE TATIZO KATIKA MAISHA YA NDOA.HV WANAUME WATATU WOTE WAWE HAWAFAI?HUYO DADA YAKO NI KUNGURU ASIYEFUGIKA!!HALAFU WE UNASEMA HAOLEWI NA WABONGO WE UNAKUWA NAE MUDA WOTE? NA JE AKIJA KUOLEWA NA WABONGO HATA HUKO UARABUNI UTASEMAJE?AU AKIKOSEKANA MWARABU WA KUMUOA UTAMUOA WEWE?HALAFU HUENDA MMELELEWA VIBAYA HAMJUI MAADILI.HV UNAWEZA UKAZUNGUMZA MANENO HAYO WE NA DADA YAKO? AENDELEE KUSUBIRIA HAO WAARABU WAKE NA ATASUBIR SANA MWISHO WA SK ATAZEEKA SIJUI UTAMUOA WEWE?AU UTAMTONGOZEA WANYARWANDA WANAOBEMBELEZA USHEMEJI KWETU ILI TUWAPE MADINI NA GESI YETU YA MTWARA?

    ReplyDelete
  8. WE KAKA NAWE NI MTANZANIA MWANAUME AU WE NI SHOGA?NA KAMA NI MWANAUME UPO KWA AJIRI YA KUTESA WANAWAKE WA KITANZANIA?HV HUKO UARABUNI KUNA MANABII WASIOTESA WANAWAKE?HALAFU DADA YAKO ANAONEKANA NDIYE TATIZO KATIKA MAISHA YA NDOA.HV WANAUME WATATU WOTE WAWE HAWAFAI?HUYO DADA YAKO NI KUNGURU ASIYEFUGIKA!!HALAFU WE UNASEMA HAOLEWI NA WABONGO WE UNAKUWA NAE MUDA WOTE? NA JE AKIJA KUOLEWA NA WABONGO HATA HUKO UARABUNI UTASEMAJE?AU AKIKOSEKANA MWARABU WA KUMUOA UTAMUOA WEWE?HALAFU HUENDA MMELELEWA VIBAYA HAMJUI MAADILI.HV UNAWEZA UKAZUNGUMZA MANENO HAYO WE NA DADA YAKO? AENDELEE KUSUBIRIA HAO WAARABU WAKE NA ATASUBIR SANA MWISHO WA SK ATAZEEKA SIJUI UTAMUOA WEWE?AU UTAMTONGOZEA WANYARWANDA WANAOBEMBELEZA USHEMEJI KWETU ILI TUWAPE MADINI NA GESI YETU YA MTWARA?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad