Ukiangalia kampeni zilivyokwendana matumaini waliyokuwa nayo MDC na wafuasi wao, hakika ndoto za mchana zinaua upinzani Afrika.
Nilisikia kauli kwa mfano Mzimbabwe mmoja alisema "watu wameichoka ZANU-PF,watu wanataka mabadiliko, MDC itashinda"! Akamalizia kwa kuchagiza "nguvu ya umma"!
Coln.(rtd) Kinana mzoefu wa kuongoza kampeni za CCM nchini toka 1995 mpaka 2010 aliwahi kusema "nguvu ya umma kwenye box la kura sio kelele za barabarani"!
Ni vizuri kujitathimini kwa vigezo sahihi kuliko kujifariji kwa vigezo vya kujifurahisha!
NINA AMINI UIMARA WA UPINZANI NCHINI SI TU NI WA FAIDA KWA NCHI BALI NI WA FAIDA HATA KWA CCM YENYEWE!
Nape Moses Nnauye
CCM Secretary for Ideology & Publicity
Source:Jamii Forums
Jiongopee 2 Dogo
ReplyDeleteZimbabwe imeendesha uchaguzi bila mizengwe ya ajabu kama inavyofanyika Tanzania. Dosari za hapa na pale zilikuwepo, lakini sio hujuma za wazi kama zinavyofanywa na CCM, kwa kuwatumia majangili wa Green Guards, rushwa, vitisho, na uchakachuaji.
ReplyDeleteKwenye uchaguzi wa 2005 Tanzania, nchi za SADC ziliangalia uchaguzi ule zikatoa tamko kwamba ulikuwa ni shaghalabaghala. Walitumia neno "shambles."
CCM iache ujangili na ifanye ustaarabu kwenye hizi chaguzi, halafu tutaona mshindi ni nani.
Big up Mr Mbele, umeona mbele sana,R.I.P CCM 2015
DeleteWe nape bonge la bwege,yaani wewe ni kilaza,kiazi mbatata,una akili hata kidogo
ReplyDeleteChadema chama cha mchng we muslm we hate that n cnt 4 religious political pati..ciao
ReplyDelete