OMMY DIMPOZ APIMA HIV NA KUSEMA "SINUNUI WALA KUUZA MECHI TENA"

Hii Ndio Post Yake kwenye Instagram Ya Star Wa Single Mpya 'Tupogo' Ommy Dimpoz Kuhusu Kupima HIV Na Kuamua Kuto Uza au Kununua Mechi Tena.
Kwenye Interview ya simu niliyo fanya nae leo, Ommy ameniambia hizi ndio sababu za yeye kupima H I V


  1. Kujua Afya ili ujilinde na uwe mtu bora.
  2. Kukinga wengine baada ya kujua afya yako pia ni muhimu.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. If were postive ungetuanikia majibu hatharani?NONSENSE....:/

    ReplyDelete
  2. mnakosaga v2 vya kutangaza nini..kila m2 angekuwa anatangaza cjui ingekuwaje

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad