TUKIO LA TINDIKALI LIMETUCHAFUA TANZANIA-SOMA HAPA KUONA WATU WANAVYOTUSEMA

“Disgusting, sick men. I won’t be going to Zanzibar any time soon thanks, ni maoni ya Shirley Bisschoff aliyoyatoa kwenye mtandao wa New24 wa Afrika Kusini huku – Mike North wa Uingereza akiandika kwenye mtandao wa Daily Mail wa Uingereza, “Another reason never to go to these pitiful countries leave them well alone , crazy.”
article-2387651-1B381DE8000005DC-830_634x783
Katie Gee, aliyefunikwa blanketi akiwa na mama yake wakiingia hospitali baada ya kusafirishwa kutoka Zanzibar
Maneno hayo yanatosha kuonesha picha halisi ya namna tukio la kumwagiwa tindikali wasichana warembo, wenye umri msogo, wasio na hatia na walioamua kuacha raha za kwao Uingereza kwenda kujitolea kufundisha watoto yatima visiwani Zanzibar, linavyoweza kuathiri sekta ya utalii katika visiwa hivyo.
“Tourism is the second-biggest foreign-exchange earner in Tanzania after mining and any lasting damage to the country’s reputation abroad could hurt industry revenues,” wameandika New24.
Katie Gee na Kirstie Trup ambao wote wana umri wa miaka 18 kwa sasa wamelazwa kwenye hospitali ya Chelsea and Westminster nchini Uingereza kutibiwa majeraha yao yaliyotokana na kumwagiwa tindikali hiyo.
Mungu ndio anajua ni idadi ya watalii wangapi walioghairi kwenda Zanzibar kupumzika kuhofia usalama wao baada ya tukio hilo.
Haya ni baadhi ya maoni ya Watanzania na raia wengine waliyoyatoa kwenye kurasa Za Facebook NA Twitter za Bongo5 kuhusiana na tukio hilo.
Jeannette L. Ladyj
Few of you can’t destroy the pride of the whole country! Jifunzeni utu na kuwaza kabla ya kutenda. Upumbavu huu!!! Nnavyoisifia Nchi yetu! Loo!?
Olivia Mosses
Inasikitisha na kufedhehesha,tabia mbaya sana maisha yatakapo kua magumu kwa kukosa watali ndo mtashika adabu na kulima hawajui….aibu tupu mwaka huu.
Macharia Gladys
Very very sad I thought Zanzibar as a peaceful place full of beauty am scared will never go there its painful the thought of those 2 gals. So why can’t I sing or be myself and enjoy life ? Nobody gets offended in Christianity just coz somebody has sang a song or wore their small or long clothes? this is just crazy and inhuman c’mon Zanzibar you’ve hit below the belt.
Sebastian Godfrey
Watu watumie akili na utu wawaze kabla ya kutenda sasa zenji mnaingia hasara kwenye utalii, dunia sasa hivi ni kama mtaa habari zimefika kwingi unadhani watakua na amani ya kuja huko mmekosa kazi inabid mpelekwe kwenye mapori mkalime mmeniboa baadhi ya wafwata mkumbo na ukikamatwa utafungwa hadi libomoke ndo utoke.
Lister Osward
Hii nchi ya Tanzania siku hizi inapata sifa mbaya sana. Sijui tunakoelekea ni wapi kwa kweli..MUNGU TUSAIDIE
Lord Herry
It’s serious matter for our country we should do some thing other wise our tourism sector will be doom,I fill So sad for the girls. I wish they get caught. It’s sad and painful for me also for there family,I wish them get well and speed recovery.
Hika Lyimo
This act brought shame to our country…its sad, how big of an impact this will cause on so many levels

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Matokeo ya Tindi kali sio Tz au Zanzibar ukiangalia hapa Uk utakuta matokeo hayo ni makubwa sana kuliko mahali pengine katika Ulaya

    ReplyDelete
  2. This act brought a shame in ur country..its such a great pity.

    ReplyDelete
  3. Maswala ya Madawa ya kulevya ayajaisha na tumearibu na kujidhalilisha ktk nchi mbali mbali dunuiani ambapo watanzania wamekamatwa na madawa hayo..Haya sasa Kuwamwagia Tindikali Wasichana wa kingereza tena ambao awajafika ata miaka 18 na walikuja Tanzania kwa Mapenzi yao na nchi yetu lakini kwa upumbavu wa wachache sasa yaani in short TUMEJIARIBIA Wenyewe.Tumejidhalilisha wenyewe na kutokana na tendo la mtu mmoja tuu basi sasa ni watanzania wote na serikali kiujumla tunamakosa...JE SERIKALI IPOO na kama ipo inafanya nini sababu haya matukio kila kukicha yanatokea..
    SERIKALI bila kuchelewa itoe SHERIA na ADHABU KALI kwa yule yoyote itajulikana amefanya tendo la kumwagia tindikali mwingine na pia izibiti vyanzo vya tindikali na kisheria na adhabu kali...Alafu awa watu wa piki piki(boda boda) nao wapewe onyo kali sababu matukio yote yanayotokea asilimia 95 watu wa piki piki au boda boda wanahusika na kama awatasikia onyo hilo basi wafungiwe ata izo piki piki zao na kusiwe na biashara iyo na watajua wenyewe jinsi gani ya kujiajiri kwasababu serikali imetoa nafasi iyo kwajili ya vijana kujiajiri lakini baada ya hapo wanashindwa kutumuia nafasi iyo katka maendeleo yao na familia zao kiujumla badala yake kujishughulisha na matendo maovu na pia wote wanajua ni nani anafanya mambo hayo kwann wasiwataje wenzao..Hili swala sasa limekuwatuwa si la kibinafsi tena ila ni la Serikali kuingilia kati na kuchukua hatua haraka iwezekanavyo sababu kesho kama sikumwagiwa tindikali mimi then wewe au mtu kutoka katika familia yako..VIONGOZI WA MAMLAKA HIZI INUENI VITAMBI VYENU NA MCHUKUE HATUA SASA.

    ReplyDelete
  4. Vyombo vya habari pia vizungumzie hili swala ili suluisho lipatakane kwa sababu ninavyoijua hii nchi yetu na baadhi ya viongozi wazembe bila wananchi wenyewe kuchukua hatua wao awatafanya lolote kwani wanashida gani wanatembea katika mashangingi ya serikali na wanalindwa kila sehemu kama tatizo la wananchi watajua wenyewe..JUST SHAME

    ReplyDelete
  5. Nyerere amka ulipo uje ujionee nchi ulivyowaachia mbwa mwitu enzi zako hakuna mtu alithubutu kufurukuta sasa wachochezi wa udini wapo wanajulikana serikali inawachekea tu madhara yake ndo haya

    ReplyDelete
  6. Labda wanataka waarabu na hijabu zao kwenye hizo beach zao

    ReplyDelete
  7. hili swala lina udini ndani yake...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad