ila sio mwisho wa maisha anywe dawa tu na kufata masharti sikuhizi sio ugonjwa wa kutisha unaishi hadi miaka 50 ni wewe tu alafu wagonjwa ni wengi mnooo ukienda kitengo kuchukua dawa utajua ni kawaida sanaaaa
Shujaaa, wengi wanajificha!! Big up........hukutaka kumuambukiza mtu, na Kama uluambukiza mtu basi bahati mbaya ilikua si nia yako,mungu atakuswamehe,pongezi sanaaaaaaaa
Huu ugonjwa wa kawaida now dayz, hata maralia na Kansa ni hatareeee kuliko HIV ,Mimi Nina ugonjwa huu Mwaka wa 16, nikabahatika kuolewa na mtu aside na ugonjwa , tunaishi vizuri na tuna watoto wawili ambao wanana afya Nzuri na mini naishi Kama bininadamu wa kawaida.So watu msiogope wala kuona aibu.Na msifikiri hamuwezi kuoa au kuolewa kuzaa!!!! Yote yanawezekana.Asanteni.
kwani cha ajabu nini bora huyu aliyejitangaza kuliko hawa wengine wanajifanya wazima kumbe pia wanao wanaambukiza kisirisiri big up wewe uliye jitangaza fuata masharti utaishi tu kawaida na kutumia dawa wachana na hawa wanajidai kushanga kana kwamba ugonjwa huo unao peke yako wewe hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho walikuwa nao wengi na wengi wataendelea kuwa nao mpaka hapo Mungu atakapo wawezesha wataalamu kugundua dawa
Yaani tatizo lenu nyie wasanii umalaya mwaona sifa,uku wilayani kwetu kila wakija lazima waombe madem wa kulala nao na kuna kigroup cha madem wanajulikana wameukwaa kitambo ndo hao uwa wanagawiwa wenyewe wanalala nao tu na mipombe wanayolewaga cjui kama wanakumbuka kinga.wasanii wengi mmeumia na jhamjijui.bora uyo kapima.na wenzenu wanawakomesha kila wakiwaita wanawaambia wale madem wajiandae na nyie mnajichomeka tu kumanina.
Acha ngono zembe si habari ya kutumia kondom! Hongera kwa kujitangaza wew shujaa. Viongoz kibao wanaficha siku wakifa twaambiwa presha na habar zingine.
Mbona mna akili wajanja wa town lakini uwezo mdogo wa kufikiri? Halafu mnasema maisha magumu! Kwa kiwango hiki cha kufikiri mtu hawezi kuwa mbunifu hata wa kutatua shida ya kukosa chumvi nyumbani kwake lazima atawaza kwenda kuomba kwa jirani.! Jamaa kasema Mimi (S"n"I) mwathirika wa ukimwi. Ina maana (S"n"I )=(S na I) yaani (SI) mwathirika wa ukimwi.
Jesus
ReplyDeletebongo fleva na bongo movie mwisho wenu umefika
ReplyDeleteIts Normal #Nick Kwan Wewe Si Wa Kwanza Anaeshangaa Huyo Mnafiki Tu.
ReplyDeleteila sio mwisho wa maisha anywe dawa tu na kufata masharti sikuhizi sio ugonjwa wa kutisha unaishi hadi miaka 50 ni wewe tu alafu wagonjwa ni wengi mnooo ukienda kitengo kuchukua dawa utajua ni kawaida sanaaaa
ReplyDeleteHuyo ni mwana hip hop watch out his tongue!
ReplyDeletehttp://en.wikipedia.org/wiki/SNi
ReplyDeleteShujaaa, wengi wanajificha!! Big up........hukutaka kumuambukiza mtu, na Kama uluambukiza mtu basi bahati mbaya ilikua si nia yako,mungu atakuswamehe,pongezi sanaaaaaaaa
ReplyDeleteHuu ugonjwa wa kawaida now dayz, hata maralia na Kansa ni hatareeee kuliko HIV ,Mimi Nina ugonjwa huu Mwaka wa 16, nikabahatika kuolewa na mtu aside na ugonjwa , tunaishi vizuri na tuna watoto wawili ambao wanana afya Nzuri na mini naishi Kama bininadamu wa kawaida.So watu msiogope wala kuona aibu.Na msifikiri hamuwezi kuoa au kuolewa kuzaa!!!! Yote yanawezekana.Asanteni.
ReplyDeletedada yangu sio 'maralia' ni malaria
Deletekwani cha ajabu nini bora huyu aliyejitangaza kuliko hawa wengine wanajifanya wazima kumbe pia wanao wanaambukiza kisirisiri big up wewe uliye jitangaza fuata masharti utaishi tu kawaida na kutumia dawa wachana na hawa wanajidai kushanga kana kwamba ugonjwa huo unao peke yako wewe hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho walikuwa nao wengi na wengi wataendelea kuwa nao mpaka hapo Mungu atakapo wawezesha wataalamu kugundua dawa
ReplyDeleteThanx lord.wewe ni shujaa zaid ya aliyepigna vita
ReplyDeleteTamaa mbaya mimi mpaka saaivi washakufa wanaume 7 niliotembea nao,2mieni condom jaman uzuri usiwadanganye mkakubali kavukavu ukimwi unauwa ila mimi siendagi kupanga foleni naletewa toka nairobi
DeleteNawaonaje wanawake walie lala nae macho yalivyo watoka! Uwii,UKIMWI UPO NA UNAUWA PLEASE PEOPLE TUTUMIE CONDOM
ReplyDeleteBijou
Yaani tatizo lenu nyie wasanii umalaya mwaona sifa,uku wilayani kwetu kila wakija lazima waombe madem wa kulala nao na kuna kigroup cha madem wanajulikana wameukwaa kitambo ndo hao uwa wanagawiwa wenyewe wanalala nao tu na mipombe wanayolewaga cjui kama wanakumbuka kinga.wasanii wengi mmeumia na jhamjijui.bora uyo kapima.na wenzenu wanawakomesha kila wakiwaita wanawaambia wale madem wajiandae na nyie mnajichomeka tu kumanina.
ReplyDeletenishazoea somaga tweet zako sana...ungeeka hata pacha ya hiyo karatas kutoka kwa doctor angalau ningeamin la c ivyo kunaki2 unatafuta.....
ReplyDeleteAcha ngono zembe si habari ya kutumia kondom! Hongera kwa kujitangaza wew shujaa. Viongoz kibao wanaficha siku wakifa twaambiwa presha na habar zingine.
ReplyDeleteNyie mshapima? Au mnaropoka tu?
Deletehakuna lolote anataka aandikwe kwenye magazeti unatafuta kiki kupitia ugonjwa? usikufuru mungu wewe.
ReplyDeletetrue mdau hapo juu anapenda sana drama na attention atakuwa kajizushia tuu
ReplyDeleteMbona mna akili wajanja wa town lakini uwezo mdogo wa kufikiri? Halafu mnasema maisha magumu! Kwa kiwango hiki cha kufikiri mtu hawezi kuwa mbunifu hata wa kutatua shida ya kukosa chumvi nyumbani kwake lazima atawaza kwenda kuomba kwa jirani.! Jamaa kasema Mimi (S"n"I) mwathirika wa ukimwi. Ina maana (S"n"I )=(S na I) yaani (SI) mwathirika wa ukimwi.
ReplyDeletewewe ni nikki mbishi mwenyewe sasa ndo utajuta kilichokufanya uandike maana sahivi hutapata mwanamke hata mmoja wote wanakuogopa poyeeee
DeleteTatizo wabongo wanawaza ujinga tu wameshindwa kukaa na kutafakari maana ya maneno yaliyowekewa mabano
ReplyDelete