Naomba nimnukuu kama alivyoandika yewe mwenyewe baada ya mchangiaji mmoja kwenye tovuti husika kumhoji kuhusiana na ukweli wa hizo barua.
Kuhusiana na wafungwa wa madawa ya kulevya huko Hong Kong Balozi Marmo alishawahi kusema kuwa idadi ya Watanzania walio katika magereza na mahabusu huko China, Hong Kong na Macao, inatisha. Alipoulizwa hatima ya Watanzania hao, Balozi huyo amesema, “Tunawapa ushauri nasaha kwa sababu kuna udanganyifu mkubwa kwenye magereza hayo (walimofungwa), wengine wanaambiwa kwamba kuna uwezekano wa kuwarejesha nyumbani ili wamalizie vifungo vyao, lakini huwa tunawaambia hili jambo haliwezekani kwa sababu Tanzania na China, Tanzania na Hong Kong na Tanzania na Macao hatuna mikataba ya kubadilishana wafungwa.
“Na wala hatuna sasa hivi uwezekano wa kufanya jambo hili kwa sababu mzigo ni mkubwa, laiti ingepita miaka miwili au mitatu bila kuwa na mtu au mhalifu wa kuleta dawa za kulevya, tungekuwa na mjadala na mataifa haya.” Anasema Balozi Marmo, “Kunakuwa na uchunguzi mkali sana, unachukua wakati mwingine hadi miaka mitatu. Hujui (hao watuhumiwa) wanazielezea nini mamlaka za hapa.”
Zipo barua tatu. Barua ya kwanza inadaiwa kuandikwa na mfungwa Agosti 9, 2013 kwenda kwa Rais Jakaya Kikwete. Barua ya pili haina tarehe. Barua ya tatu inadaiwa kuandikwa Agost 8, 2013 kwenda kwa Dr. Mwakyembe na imeoothoresha majina ya wanaodaiwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulenywa, yakiwemo majina ya viongozi wa kidini. Again, sina uhakika kama waliotajwa wanahusika na hiyo biashara. Mie nimekopi na kupaste tuu habari kama nilivyoikuta. kama yaliyoandikwa kwenye hizo barua ni ya kweli au uongo kwa kweli ni vigumu sana kujua.
Source:jamiii forums
toeni uongo wenu hpa umaalufu haupatikani kiivyo
ReplyDeleteYOU NEVER KNOW BHANA
ReplyDeleteUNAJUA WAKATI MWINGINE LAZIMA TUSHIRIKISHE UBONGO WETU SAWASAWA, PALE AIRPORT KUNA ULINZI MKUBWA WATU WA USALAMA WA TAIFA WAPO,POLISI WENYE SARE WAPO,WAPELELEZI WAPO,POLISI WA IMAGRATION WAPO,WANAJESHI WAPO SASA HAYO MADAWA YAKULEVYA YAMEWEZA KUPITAJE??!!!!KAMA KWELI WATU NI WAAMINIFU NA WANATIMIZA WAJIBU WAO HILO NDILO SWALI LA MSINGI HAYO MADAWA YAMEPITAJE KWENYE VIWANJA VYETU VYA TANZANIA,AU MNYAMA MKUBWA KAMA TWIGA AMEPITAJE?!!!!!KWA HIYO KWENYE HIYO BARUA IWE NI BARUA YA KWELI AU SI YAKWELI NDANI YAKE KUNA MAMBO YA MSINGI SANA
ReplyDeletetumechoka na hoja zenu za madawa,wahusika wenyewe ndio hao hao mnaowaandikia barua,msonyo.wasting of time.fungeni mjadala mamae zenu.
ReplyDeletekaratasi zote toka pande za uchina huko lzma ziwe na lugha yao hata kama kiingereza kipo mfano neno NAME litaandikwa kichina pia pia ''kithungu'' kwa umsituchukulie poa
ReplyDeleteHapa kaz tuu.
ReplyDelete