WANAWAKE WENYE NDEVU WANA UTOFAUTI WA KIPEKEE

Baadhi ya wanaume wanawasifia sana wanawake wenye ndevu,

Inasemakana wanautofauti mkubwa sana hasa kwenye mapenzi na mafanikio kimaisha..

Binafsi sijawahi kulidhibitisha hili...

Wadau wa MMU, mnajua nini juu ya hili?

Afu si wengi wenye nazo
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad