AMANDA"WOWOWO NI ASILI YANGU SI MCHINA-NAWASHANGAA WANAUME WAZIMA WANAACHA KAZI ZAO NA KUNIZOMEA"

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta katika wakati mgumu wa kuzomewa  kutokana na kukatiza kitaa akiwa na nguo iliyombana na kuonesha makalio yake yaliyojazia.Kwa mujibu wa mtoa taarifa,  tukio hilo lilichukua nafasi Ijumaa iliyopita maeneo ya Mwenge, jijini Dar ambapo msanii huyo alikuwa ameenda kwa ajili ya kununua mahitaji mbalimbali ndipo kundi la wanaume wakware lilipoanza kumzomea. Tukio hilo lilimfanya Amanda apoteze amani ghafla na kuamua kutimka zake eneo hilo huku akiwashangaa. Paparazi wetu hakuwa nyuma, alimpigia simu na kumuuliza kulikoni? 

“Daah! Ilikuwa kero kweli, wanaume wazima wanaacha kazi zao na kuanza kunizomea huku wakiniambia kuwa ni dawa za Kichina. Lakini ukweli ni kuwa hii ni asili yangu na si Mchina,” alisema Amanda
Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kuma we asa ni nani unae mtangazia mkundu wako?

    ReplyDelete
  2. utajiju fala weee, au ndio biashara kimtindo?

    ReplyDelete
  3. Ila kwel unalo dada,hata kamapembe la ng'ombe halifchki ila usivaage vinguo vywa kubana sana.

    ReplyDelete
  4. bongo muv rudin shule mjue cha kuongea 2 public

    ReplyDelete
  5. Unaligawa au miyeyusho

    ReplyDelete
  6. Pôle ni vijimambo tu lkn jichunguze kuna kitu umefanya

    ReplyDelete
  7. Aaaahahahahahaaa jaman watu mna hacraa, ila kweli unaboa co ktu cha kuongea public

    ReplyDelete
  8. Aaaahahahahahaaa jaman watu mna hacraa, ila kweli unaboa co ktu cha kuongea public

    ReplyDelete
  9. sasa ye c kaulizwa na mtoa habari au..achen ushamb nguruwe nyie..acngeulizwa,acngeongelea kilichotokea

    ReplyDelete
  10. Mavi mabich we kwan alishindwa kunyamaza au kupotezea

    ReplyDelete
  11. That's my baby Amanda waonyeshee amanda adi wakome

    ReplyDelete
  12. FLORA KALYA EMPAL YAWE

    ReplyDelete
  13. BORA WAZAZI WAKO WANGETUMIA KONDOM KULIKO KUZAA DUDU M2 KAMA WEWE,SURA KAMA VILE UMETOROKA JEHANAM

    ReplyDelete
  14. Mambo ya dunia hayo!

    ReplyDelete
  15. na nyie mnaotukana mnaelekea wote washamba washamba fulani ,hii dunia sasa hivi ni freestyle mtu hufanya na husema alitakalo nyie mtaqtukana wangapi hayo mnayoyasema mnafikiria watu tunayapenda ? kama kitu hukipendi kauka tu kwani ukimind na wengine wataku mind wewe vlevle mjue matusi hayauzwi wala hayana shule

    ReplyDelete
  16. Jamani kutukana sio issue wala nini! Huyo kweli asili yake namjua vizuri toka akiwa msichana mdogo bado!

    ReplyDelete
  17. sa kma unamjua?kila mtu akitangaza matako yake itakuwaje mfyuuu hata me ninalo tena la saiz maana likizid linabore.badala uongelee maendeleo we unatangaza matako mbulula we!

    ReplyDelete
  18. mbululumbululu mbulula! i wsh u wud kam up with someting endelevu! hiv y hawa wa2 wakishapata majina hapa mjini basi akili zao zinazid kuganda! hebu mcheki kama jokate yan from heroin to zeroin! pyiuuuuuu

    ReplyDelete
  19. angalia sehemuza kupita sasa wewe matako mzigo alafu unavaa kimin watakubaka

    ReplyDelete
  20. Inaelekea ulivaa nguo ya ajabu, mbona mm nimejaaliwa sana tuu lakin sijawahi zomewa na kila siku napita hapo mwenge na maeneo mengine

    ReplyDelete
  21. we anti kiyungi twalib acha ushoga kuma wewe unamtetea shoga mwenzio umemjulia wapi wakati umekulia iparamasa, na huyo kuma mwenzio unamtetea hayo ndio maadili ya kuvaa nguo hata kama anatako kama kichwa chako. kuma we acha ushamba wa kisenge huo na kuma hakupi matako wewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi mnafikiri mtu akikosea hurekibishwa kwa matusi tena ya nguoni?Huoni ww unae tukana ni mkosaji zaidi ya alievaa nguo ya ovyo!
      kwa maana hao huingia nazo mpaka Kanisani kutubu.Je ww waweza kuingia kanisani kwa matusi yako? You have toThink before..........

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad