Web

ANGALIA VIDEO JINSI SHILOLE ALIVYOMPA SHABIKI ZAWADI YA KUMSHIKA ATAKAPO STEJINI

Lakini vipi kama ndoto hiyo ikikuijia katika wakati ambapo hujajiandaa kabisa? Utaona aibu kuitimiza? Huenda jibu hili anaweza kuwa nalo kijana wa Dodoma aliyepata bahati hiyo ya mtende kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta mjini Dodoma jana usiku.

Akiwa amevalia nguo iliyolichora vema umbo lake, Shilole alimpa nafasi kijana huyo kuiota ndoto hiyo walau mara moja katika maisha yake. Kijana huyo aliyekuwa amevalia t-shirt nyekundu hakufanya ajizi. Akionesha kufurahia ‘fursa’ hiyo ya aina yake, jamaa alionekana kunogewa kulishika na kulikumbatia umbo la Shilole ambaye alimruhusu afanye chochote.
Chochote lakini sio vyote!!!

Mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa Dodoma, Shilole alimruhusu jamaa huyo alikamate kiume paja lake jeupe huku akikata kiuno na kumshika begani.

Tukio hilo lilivuta hisia za maelfu ya wakazi wa Dodoma waliokuwa wakishangalia mwanzo mwisho. Ama hakika, Shilole anajua kuwapa raha mashabiki wake.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WADADA mnajidhallsha mcmwige SHILOLE hyo ni mtoto yatima hana baba wala mama kama ana akili hawezi anika mapaja yke nani acye na mapaja kwnza wanawake mnadhallshwa, pia hao wasanii wana2mia upako wa KISHETANI (FREEMASON) wengi wpo humo co jhadhali nawe unaepewa ofa ya kupapasa mapaja utaangukia kubaka. By Uncle Samy

    ReplyDelete
  2. Umefika wakati wa kujivunia kulala na bikira na cio mbwa ukiondoka nzi wanakufuata, utaoga mbaka sabun itaisha ila harufu haitoki

    ReplyDelete
  3. Ana lolote huyo anatafuta kiki 2, Puumbaafuuu!!!

    ReplyDelete
  4. Tushawazoea hao wote ndo wale wale 2 kasolo majina kazi umalaya sasa m2 mwenye akili zake anaweza kufanya mambo kama hayo tena mbele za wa2 c uchizi huo, araaaa! Puumbaafuuu!!!

    ReplyDelete
  5. tenda mema uende zako

    ReplyDelete
  6. Halafu mbona hao wanenguaji wamevaa bendera ya Marekani? Ina maana gani?

    ReplyDelete
  7. Mtakumbatia misukule hadi lini wengne wanatembea huku wamekufa pole kijana ulitekwa cyo akili yako hyo

    ReplyDelete
  8. Mpumbavu huyo dada,akili hana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad