BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA FRANCIS CHEKA AMUA KURUDI SHULE ..KIDATO CHA KWANZA

Bingwa wa dunia wa WBF Francis Cheka ambaye hivi karibuni alipewa zawadi ya  kiwanja na Rais Jakaya Kikwete baada ya ushindi wake dhidi ya bondia wa Marekani, ameamua kurudi shule.Cheka anasema hakupata nafasi ya kwenda shule kutokana na matatizo ya kifamilia na kuishia darasa la saba. “Mimi sikusoma niliishia darasa la saba, lakini nimeamua kurejea darasani baada ya kupewa udhamini na shule ya St Joseph”.
“Nahitaji kuwa Cheka mpya kielimu ili nifike mbali, miaka kumi ijayo hadi namaliza elimu yangu nitakuwa na miaka 41. Hapo nitaamua niendelee na ngumi au nifanye biashara zangu nyingine “.Habari kamili ipo kwenye gazeti la Mwananchi la Sept 17.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera cheka kwa waamzi wako soma, fanya zoezi, ibua vipaji kwa vijana wengine, ila uwempole kwa walimu wako kubali hata kulala kama mwalimu akisema lala chini Bro Utasoma na utakuwa nfano na historia Nzuri kwa watoto wako na mabondia wengine.

    Nikutie moyo bro unaveza

    ReplyDelete
  2. kitabu ndo kila kitu,unawezaaaa

    ReplyDelete
  3. Ni uhamuzi mzuri bro

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad