Web

BAADA YA MANENO MANENO KUHUSU LUCCI NA JOKATE, HATIMAYE LUCCI AVALISHA PETE MWANAMKE AMPENDAE

Mtu wangu wa nguvu unaweza kujiuliza huyu shemeji yetu alikuwa na hali gani kipindi kifupi kilichopita wakati Kaka Dada,Lucci Jokate ndiyo headline kila sehemu. Lucci anaongezea,”Unajua ukishakuwa kwenye mapenzi na mtu anayejitambua na anafahamu kazi yako. Basi atafahamu kabisa entertainment inahitaji vitu tofauti ili kufanikisha. So mimi na yeye tuliongea kwamba muda huu tunaitoa kazi ya kaka dada na plan nzima alikuwa anaijua. So hakukuwa na tatizo lolote”
Kama unataka kujua upande wa pili wa Lizzyblazzer, Lucci anatuelezea kuhusu mchumba wake,”Lisa ni director wa kampuni yetu mimi na yeye inaitwa  Tsere. Kazi tunayofanya ni creative and marketing, pia anafanya kazi ya HR kwenye hii kampuni”

Oky, so kumaliza mawazo mengi ambayo watu walikuwa nayo kuhusu Jokate na Lucci. Kaka Dada ni kaka na dada kweli, ule ulikuwa wimbo tu.
Tunasubili Jokate na yeye atuwekee wazi shemeji yetu…JUST KIDDIN’
Yanayoendelea twitter…



Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni uamuzi mzuri Lucci.

    ReplyDelete
  2. demu ni wa kawaida

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha unafki ujaulizwa..kila mmoja na ampendaye

      Delete
  3. Hatimae ukaamua kuoa

    ReplyDelete
  4. Ni jambo Jena,nawatskia kila la heri

    ReplyDelete
  5. wewe unakaramba kajoketi alafu unatuletea cinema za pete kenye ako kamchaluko.m.nq machimkenda

    ReplyDelete
  6. Hata ufanye nini jokate ushamlamba...... Unalohilo

    ReplyDelete
  7. Sasa mbona this isn't new, dogo alishamvalisha pete Feza wa Big Brother na bado uchumba akauvunja sembuse na hii tena........KakaDada?

    ReplyDelete
  8. Jamaa kwa kuvalisha pete hapa mjini kiboko..........NEXT!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad