So Rehema Chalamila aka Ray C na mtangazaji wa kipindi cha Take One cha Clouds TV, Zamaradi Mketema haziivi? Katika kile kilichoacha wazi midomo ya watu wengi, warembo hao leo wameingia kwenye vita vya maneno kwenye mtandao wa Instagram. Alianza Zamaradi aliyepost picha yenye maneno ya mafumbo:
Picha hiyo aliiandikia maneno haya:
Picha hiyo aliiandikia maneno haya:
Huwezi amini sikuchukii ila nimezidi kukudharau!!!! Katika watu wa mwisho kabisa ambao siwezi kupanic nao hata siku moja ni WEWE.. Dont waste your energy.. you have so much to accomplish ndugu.. mi hunipi tabu kabsa, kabsaa, kabisaaaaaaaaa yani sanasana unanichekesha tu na vituko visivyoisha.. lol!! Ila sikulaumu sana sio kosa lako maskini… ungekuwa una akili usingefanya hayo ya kitoto tena hasa KWA KIPINDI HIKI.. na huenda hiyo sio akili yako mwaya.. NIMEKUSAMEHE BURE maana hapo ulipo hujielewi bado.. Dramas Dramas Dramas… sizipendagi ila huwa zinanifata zenyewe.. lol!!! Mbona naandamwaga hivi jamani kwani kosa langu nini mimi mtoto wa watu… hahahahahaaaa majanga haya @wemasepetu anyways sorry to my good people jamani kwa mapost ya aina hii.. sometimes inabidi coz mwisho wa siku mi ni binaadamu tu wa kawaida.”
Wema naye aliongeza kwa kuchangia: Mbona majanga….. dont waste ur tym to fools maamy…. nawe utaonekana a fool… fanya yako… wanaokufatilia wanatamani wawe kama wewe… na si kingine its called ENVY.”
“Sina hata time nae mammy bado ana vichembechembe kwenye ubongo.. maana ghafla tu anaanza kuniparamia jamani.. lol!!! Kishafulia anatafuta kick kwa kugombana na watu.. mtu wa zamani,” aliongeza Zamaradi.
Japokuwa Zamaradi hakutaja wazi nani mlengwa wa ujumbe huo, ni Ray C mwenyewe ndiye aliyejibu kwenye maelezo ndani ya post yake kwenye mtandao huo akisema:
“Hihihi kazi kwelikweli mi naweza posts zangu watu wanajihisi au wanaumia. Tatizo skuliiiii shauri yako #uki skuli kdg wala matatizo hakuna ila km huja skuliii mweeeh unakua mbulula mama we hujui fanya yako achana na watu weusi,” aliandika Ray C.
Aliongeza tena, “Haswa anajiona kichwa kumbe mbulula haswaa Hana lolote,Watu wameanza shughuli hizo anazofanya wenzie tulishazifanya kitambooooooooo,tushauza sura sanaaaaaaaaaa zaid ya miaka. 12 namuangalia simmalizi maana haeleweki.”
Haukuishia hapo, Zamaradi aliongeza tena kwa kuweka post mpya.
“Nashusha sana hadhi yangu kwakweli dealing with watu wenye hasira na maisha ya watu wengine… this is not ME kabisa. Una mengi ya kutukaniwa lkn mi ni binaadamu ninaejua baya na zuri.. maisha yashakushinda wewe sasa USIPANIC.. jipange. Ushafanywa yote ya dunia ntakuweza wapi mie mtu wa zamani,” aliandika Zamaradi kwenye picha hiyo.
Ray C alijibu kwa kuposy video hii:
Hata we zamaradi ni mpumbavu tu,yan hata we unajiona bonge la staa?af unaropoka tu,we mdogo sana kwenye ustaa dhidi ya ray c so ongea maneno yenye akiri,
ReplyDeleteKwahili ngojs nimfollow rayc
ReplyDeleteheee!!iv unajua v2 zingine ni uenda wazimu na upunguan we zamarad nlikuwa nakuonaga m2 wa maana kumbe m**nge 2 ka wengine huon aibu kuwa mkubwa boya ww unasababu gani za kum2c huyo msichana hivo hata kama kakubore 2mia busara 2jue kwel ww star then huna ustaa huo wa kujifananisha na ray c hata kama maisha yamemshinda ww pia huna jipya la kujionaunamaisha ww em behave kenge ww
ReplyDeleteKwa kuongezea huyo Zamaradi ana uso mbovu hawezi kushindana na R c kwa njia yeyote ile ingawa mwenzake kapitia kwenye mitihani mizito kwa hiyo zamaradi na wema mnachangia Rehema eti ana chembechembe kichwani kwani Wema mbona anavuta kitu cha Arusha au Zamradi wema anakata kidogo ili um boost kutokana na kibarua chako maana kazi yenyewe u na certificate tu.Msimnyanyase mwenzenu kujifanya nyie ni wajuaji sana.
DeleteBadala ya kumsapoti mnampa matusi huo ni ujinga sana.
Zamaradi hama lolote kamwambia nam ye* labda boc wake ndiyo kamwona * bado yeye kitukuu kwa ray c
ReplyDeleteLo!
ReplyDeleteMnamgombea nani mbonamajanga
ReplyDeleteRuge
DeleteZama amezaa na yahya asa bidada anatoka nae ndyo bifu lote hilo lol!
DeleteZamaradi bado hujafikia levo za RAY C acha kujifaragua wewe una ustaa gani kwa kuuza Clouds?
ReplyDeleteHivi Zamaradi kumbe msenge hivi sasa kama anajua Ray C kafulia, mgonjwa anajibizana nae nn, hv kwanza jamani who is Zamaradi kwa Ray C? kamepigwa mimba nje ya ndoa n kachangu tu, kanachambua Movies za wenzie yaani ndio ustar huo khaaaaa wobongo bwana. Ngoja nikatafute niKale Tigo kashike adabu.
ReplyDeletekulingana na hiyo video ya mwisho, naona kuna mwanaume kwenye hii vita.! Ray C anasema she loves him.
ReplyDeleteZamaradi wewe wa juzii tu kiustar.Unasema Ray c ana hasira na maisha..si bora yeye jina lake bado linawika pamoja na kwamba hajatoa kazi zake sikunyingi,we kutwa kuhangaika na mastar fake wabongo,nawaita fake kwasababu ya ukichaa wao,kwangu mimi star ni yule mtu anayejiheshimu kila angle.Sasa hao ndo watu unaodeal nao halafu unajiona juu.Tulia kikongwe wewee
ReplyDeleteVery true wale vidonge vyao
ReplyDeletehahaaa nawaonea huruma sana kumgombea ruge...kawapangia nyumba wadada kivao hapa mjini.kuna wa msasani janerose,kuna wa kinondoni k, na wote anatoa full matunzo ila afya yake si mnaijua lakin? poleni sana!
ReplyDeleteKumbe wanamgombea Yahya!Yahya unaishi wapi?
ReplyDeleteYahaya naishi kicju pwani karibuni wote
ReplyDeleteachen ujinga vijan
ReplyDeleteZama alicho niudhi nikumkashif mwenzie kwa addiction alio kuwa nayo akapona! Why umkumbushie mwenzio mtighani mkubwa alio pitia !? So stupid haki..acheni utoto mmekuwa sasa jamani
ReplyDeleteSasa wanaemgombea ana wayawaya kwenye miwaya na mtakufa sana nyie bitches!!
ReplyDeleteSasa wanaemgombea ana wayawaya kwenye miwaya na mtakufa sana nyie bitches!!
ReplyDeletehuyo kaukau nae loh hata anatia kinyaaa.ptuuuuuuuu.ray c ni level zingine hayo ni majaribu tu kila mja anapitia we mbona umezaa hata hujaolewa? kaz kuona ya wenzio tu kaogeeeeeeeee na hiyo minjino pembe
ReplyDeleteMambo ya wanawake bana dahh mi cyawez lol
ReplyDeletezamarad nlkuona wa maana dada ang kumbe naww hamna k2 loooh
ReplyDeleteZamarad wewe motto tu kwa Ray c,au kuonekana kwenye luninga unajiona ndio umemaliza....wewe na mabosi wako wote hamna maana mnapenda ujinga ujinga tu
ReplyDeletezamarad mwenyewe mchache hata mkonon hajai huyu ni nan kwa ray c? nilikaona kwenye choma festival hata hakatamanish yan nikakaonea huruma kuzaa na yahaya halafu kanaona kameyapatia maishaaa....kasenge tu hako ka chikondemu
ReplyDeleteJamaniieee kwani huyo Yahya ni naaaniiiiii!! Ila Huyo z*maradi kwa Ray C asubiri sana! Kwanza Ray C ni mzuri sanaa tena sasa hivi ndio kazidi mautamu!! Sasa jee Zamarad ananini cha kushindana na Ray C?!
ReplyDeleteJamani sisi wa huku mkoa tunamfahamu sana Ray C...Kutokana na miziki yake enzi hizo..Huyo Mdada mwingine Zamaradi ndio nani? Ni staa katika kitu gani?Mtueleweshe ili tuwe pamoko...
ReplyDelete