Usiku wa Jumamosi kwa majira ya Las Vegas kulifanyika pambano la masumbwi kati ya bondia maarufu Floyd Mayweather wa Marekani na Canelo wa Mexico. Floyd ni mkubwa kiumri kwa miaka 13 zaidi ya Canelo kwasababu Canelo ana miaka 23 na Floyd ana miaka 36. Lakini kwasababu wote wapo kwenye uzito mmoja, pambano hili kubwa liliandaliwa kwenye hoteli ya MGM Grande huko Vegas.
Pambano lilienda hadi round ya 12 ambapo majaji wa shindano walimpa ushindi wa points Mayweather na kuwa WBC and WBA light-middleweight championi, baada ya ushindi huu Floyd anategmea account yake kuingiza dola millioni 41.5. Scorecards zilionyesha points kama hivi 114-114, 116-112, 117-111 na kumpa ushindi Floyd na kwa mara ya kwanza Canelo kupigwa tangu aanze kucheza masumbwi ya kulipwa.
When some one searches for his required thing, so he/she wants to be available that in detail, therefore that thing is maintained over here.
ReplyDeletemy homepage - continue To site �
you are in point of fact a good webmaster.
ReplyDeleteThe site loading pace is amazing. It sort of feels
that you are doing any distinctive trick. In addition, The
contents are masterpiece. you've performed a fantastic job on this matter!
my site ... synapse.zeitgeist-project.com
Pretty nice post. I just stumbled upon your blog and wanted
ReplyDeleteto mention that I have really enjoyed surfing around your weblog posts.
In any case I'll be subscribing on your rss feed and I hope you write once more very soon!
My web-site ... tree clearing contractors
This post will help the internet users for building up new
ReplyDeleteweblog or even a blog from start to end.
My web-site: Dietrendahkalori.com