Web

BONDIA FLOYD MAYWEATHER KULIPWA ZAIDI YA TSH BILIONI 41 BAADA YA KUSHINDA

Usiku wa Jumamosi kwa majira ya Las Vegas kulifanyika pambano la masumbwi kati ya bondia maarufu Floyd Mayweather wa Marekani na Canelo wa Mexico. Floyd ni mkubwa kiumri kwa miaka 13 zaidi ya Canelo kwasababu Canelo ana miaka 23 na Floyd ana miaka 36. Lakini kwasababu wote wapo kwenye uzito mmoja, pambano hili kubwa liliandaliwa kwenye hoteli ya MGM Grande huko Vegas.
Pambano lilienda hadi round ya 12 ambapo majaji wa shindano walimpa ushindi wa points Mayweather na kuwa WBC and WBA light-middleweight championi, baada ya ushindi huu Floyd anategmea account yake kuingiza  dola millioni 41.5. Scorecards zilionyesha points kama hivi 114-114, 116-112, 117-111 na kumpa ushindi Floyd na kwa mara ya kwanza Canelo kupigwa tangu aanze kucheza masumbwi ya kulipwa.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. When some one searches for his required thing, so he/she wants to be available that in detail, therefore that thing is maintained over here.


    my homepage - continue To site �

    ReplyDelete
  2. you are in point of fact a good webmaster.
    The site loading pace is amazing. It sort of feels
    that you are doing any distinctive trick. In addition, The
    contents are masterpiece. you've performed a fantastic job on this matter!


    my site ... synapse.zeitgeist-project.com

    ReplyDelete
  3. Pretty nice post. I just stumbled upon your blog and wanted
    to mention that I have really enjoyed surfing around your weblog posts.
    In any case I'll be subscribing on your rss feed and I hope you write once more very soon!

    My web-site ... tree clearing contractors

    ReplyDelete
  4. This post will help the internet users for building up new
    weblog or even a blog from start to end.

    My web-site: Dietrendahkalori.com

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad