BOSS WANGU ANANITAKA KIMAPENZI..KACHANGANYIKIWA MPAKA ANAFUKUZA KAZI ANAYE ONGEA NA MIMI

Heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...Sijuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....I am stressed
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama inye ndembendembe imekuponza watu wanafukuzwa kazi sasa boc kapagawa, ila stor ya uongo shenz zenu

    ReplyDelete
  2. kama n stor ya ukwel, mpige chin huyo boss na mchane live kuwa hajui kutongoza. Na we ucje ukamdscourage huyo rafk yako kwa kumkubar boss

    ReplyDelete
  3. Duu dada we kama vp mchane upo kikaz zaid c kimapenz xema nini pia ukubar matokeo ya kutemeshwa mzigo

    ReplyDelete
  4. udaku mimi nakupongeza kwa story zako za kutunga, una kipaji afu unawashika masikio walio wengi...hhhhh

    ReplyDelete
  5. Achana na huyo boc ni malaya 2, nenda kamliwaze jamaa the kaa ukijui hana kazi kwa ajili yako!

    ReplyDelete
  6. Tumia opportunity mjinga wewe mwambie kwanza amrudishe kazini yule kaka...alafu mwambie akufanyie mambo ya maana ndo uumpe papuchi ukiigawa haiozi

    ReplyDelete
  7. Akuna blog ya kisenge kama hii ivi unatuweka sisi watoto.kama huna cha kuandika kaa kimya acha kuweka usenge huu fala kweli

    ReplyDelete
  8. Yani hapo uwe tayari kupoteza tu kazi maana mimi ilishanitokea nilipoanza kazi kwenye ofisi ya mtu binafsi alikua hivyo hivyo hataki nimzoee mtu wala nisicheke nae na alikua kama baba yangu umri wake na alikuwa ana mke mzungu matokeo yake mwishoni alinifukuza kazi alisema hawezi kuendelea kuniona wakati anajua simkubali basi roho iliniuma lkn niliacha kazi na Mungu alivyo wa ajabu sikuchukua mda nikapata kazi sehemu nyingine na hapo napo nikakutana na janga lingine la malaya mwingine kijana tu kaoa tu lkn bado anatamaa yani kuna watu wana mambo ya ajabu ana mke mzuri lkn bado anataka kila sketi aifunue mpaka nilipopata gvmnt ndo nikapata unafuu

    ReplyDelete
  9. Kama humpend muambie ukweli ucje ukamdanganya mapenz yanauma sana

    ReplyDelete
  10. kafirane huko usisumbue watu akili

    ReplyDelete
  11. Achananae kwnin akuzalilishe kisa kazi akikufukuza ok umsimkubalie nyege majanga znamsumbua

    ReplyDelete
  12. Hivi kwanini mnacomment listory lakiongo kuweni wajanja.m.ng.machimkenda

    ReplyDelete
  13. Stori ya uongo. Km ni kweli basi Boss lofa na fala tu...alikuwa hajawahi kufira ss mavi yamemkolea. Shenziiiiiiiiii...

    ReplyDelete
  14. OMG
    Mavi hayo ndo yamemzingua boss, achana nae huyo boss ucjidhalilishe kisa kijikaz chake

    ReplyDelete
  15. Mtafute yule kijana japo umpooze kwa ucku mmoja nayee afaidipo ilo tako,atasaau kabisa kaalifukuzwa job

    ReplyDelete
  16. NINA MASHAKA NA HIVYO VYETI VYAKO KAMA SI VYA KUFOJI NI VYA KUAZIMA,MAANA VINGEKUWA VYAKO USINGEYUMBISHWA NA HUYO BOSS.KAMA ANGEKUZINGUA UNGEOMBA KAZ SEHEMU NYINGINE Niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad