BREAKING NEWS:SHULE YA SEKONDARI YA ILBORU YAFUNGWA NA SEREKALI
0
September 17, 2013
BREAKING NEWS: Shule ya Sekondari Ilboru, imefungwa na serikali kufuatia tishio la kuchomwa moto. Hii inatokana na mgogoro wa wanafunzi na waalimu. Wanafunzi 4 wanahojiwa, 800 wamerudishwa nyumbani.
Tags