Anza siku yako kwa Chemsha Bongo hii.
Iangalie kwa makini picha hii na ujibu maswali haya;
1. Haya ni macho ya Mnyama gani?
2. Haya macho yana rangi gani?
3. Je kwa unavyohisi haya macho yanaangalia wapi? Juu, Chini, Mbele au Pembeni?
4. Mnyama huyu anatumika kuiwakilisha Bia gani hapa Tanzania?
Ukishajibu basi Like na hii Page ya Serengeti Lager: https://www.facebook.com/serengetipremiumlager