DADA AKUMBANA NA OPERATION YA KUWAVUA WAVAA VICHUPI MTAANI-AOKOLEWA NA TRAFIC

Khatimu Naheka aliyekuwa Arusha
VIJANA wamechoka kuwaona wanawake wanaovaa kihasarahasara ‘vichupi’ mitaani ambapo wameanzisha oparesheni maalum ya kuwavua kabisa ili watembee utupu ijulikane moja.
Habari hii inathibitishwa na tukio la mrembo ‘miss’ (jina lake halikupatikana) ambaye amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukumbana na kasheshe zito kutoka kwa wanaume kufuatia kinguo kifupi alichokuwa amevaa, kilichoacha nje sehemu kubwa ya mapaja.
Vijana wa mjini wakimvua kitenge alichojistiria mrembo huyo.
JIJINI ARUSHA
Tukio hilo lililovuta umati mkubwa ambalo lilishuhudiwa na shushushu wetu, lilijiri maeneo ya stendi ya mabasi madogo jijini Arusha, wiki iliyopita wakati mrembo huyo akiwa na marafiki zake watatu wakirandaranda kufanya ‘window shopping’.
Mara baada ya kufika eneo hilo, miss huyo alijikuta akizungukwa na wapiga debe wa daladala na kuanza kumshushia maneno makali wakimwambia kuwa wamechoshwa kuona nyeti zao.
Trafiki wakiwa na mrembo huyo baada ya kumwokoa kutoka mikononi mwa vijana.
AVULIWA
Huku sistaduu huyo akidhani ni kelele za kawaida, wapiga debe hao walimzingira na kuanza kumvua kigauni hicho cheusi.

APEWA KITENGE
Mrembo huyo alipoona mambo yameharibika huku wenzake wakitoka nduki, alilazimika kukimbilia katika duka moja la nguo maeneo hayo na kuomba msaada ambapo alisitiriwa kwa kupewa upande wa kitenge kwa msaada wa trafiki wa kike aliyemuokoa.
Kabla ya kusaidiwa na trafiki mwingine wa kiume, yule wa kike alimshauri kuvaa kitenge hicho na kuondoka eneo hilo.
...Trafiki akimhoji.
AKIMBIZWA
Cha kushangaza, wakati anatoka katika duka hilo hali ilizidi kuwa tete baada ya midume walioonekana kuchoshwa na uvaaji wa nguo fupi kumkimbiza na kuanza kumvua kitenge hicho hivyo kusababisha vurugu kubwa kiasi cha matrafiki kadhaa kuingilia kati na kuwatawanya vijana hao.
Trafiki akimpeleka mrembo huyo kwenye gari.
AJITETEA
Wakati dada huyo akihojiwa na matrafiki hao, alijitetea kuwa anawashangaa vijana hao kwa kumfanyia vurugu wakati nguo hiyo siyo fupi na mara nyingi amekuwa akiivaa na kutembea nayo maeneo kama hayo bila kupata tatizo lolote.
“Afande hii nguo huwa naivaa sana na sijawahi kupata matatizo yoyote, sijui leo imekuwaje lakini siyo fupi kama wanavyodai, nimevaa na kitenge lakini bado wananifanyia vurugu,” alilalamika dada huyo kwa uchungu.
Licha ya dada huyo kuwa katika mikono ya mmoja wa matrafiki wa kiume, jamaa hao walizidi kumfuatilia huku wakimrushia maneno makali ya matusi na wakati mwingine kumsukuma.
Baada ya trafiki huyo kuona hali inazidi kuwa mbaya, alisimamisha gari moja la serikali na kumuombea lifti kwa lengo la kumnusuru kufanyiwa kitu mbaya.
..Mrembo akipanda kwenye gari.
TUMEWACHOKA
Wakizungumza na gazeti hili juu ya tukio hilo, ‘machalii’ hao walisema kuwa wamechoshwa na uvaaji mbovu wa baadhi ya akina dada ambapo sasa wameamua kuwafanyia vurugu hizo mpaka hapo watakapoacha kuvaa hovyo.
“Tunakushukuru kwa kupiga picha, wanatuchosha hawa dada zetu, nguo wanazotuvalia barabarani ni za kuvaa nyumbani tena chumbani lakini wao wanavaa sehemu kama hizi, kuanzia sasa kazi itakuwa kama hii hadi watakapoacha, dawa yao ni kuwawashia moto,” alisema mmoja wa wapiga debe hao huku akisapotiwa na wenzake.
Siku za nyuma mchezo wa kuwavua nguo fupi wanawake ulisaidia kupunguza tabia ambapo kwa sasa imerejea kwa kasi hivyo ili wanusurike na adha hiyo ya kuvuliwa hadharani inayoshika kasi, inabidi kuvaa kiheshima.
Tags

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio sawa kwatabia hiyo

    ReplyDelete
  2. na wakome..na iendelezwe

    ReplyDelete
  3. Tena wakome, wamezidi sana

    ReplyDelete
  4. Safi sana bado Dar es salaam manamake yana tembea uchi kama mbwa

    ReplyDelete
  5. Uncle samy singida. Hyo nimeipenda men tena naikatiwe lesen bungen kabisa hya madada ya vuliwd ya bakishe keki zao live

    ReplyDelete
  6. Huu ni ushamba. Huyo dada ana haki zake pia. Kama hampendi mavazi yake, toa agizo na njia yaku deal na anaye upuuza agizo ilo. Kumvua nguo ni ujinga kwa anayamvua na anaye vuliwa. Na tuna shanga tukiona africa ilivyo nyuma. Tabia kama haya ndio yafanya tunakosa heshuma kama mtu mafrika. Ndio maana wazungu wakaja afrika na kututia pingu. Maana tuna ushamba kama haya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uncle samy singida. We unaeona ushamba we ndo mshamba unae fagilia mambo ya wazungu co mzungu kama anakula mavi nac waafrika 2le hapo umetokocha angalia leo hii mzungu aweza kuogelea bwawa la maji na mke wake na mabinti wakwake na mchumba wa bint ake, we utafanya hvyo na mamako na bbako na mchumbako au mpenz, taeadhal 2mheshimu MUNGU C MZUNGU KAMA HJAELEWA please call mi 0767724328 .uncle samy

      Delete
    2. Unavyo jibu naelewa mzungu sio kitu. Ww ume miss the point . We as a people are above this barberic. Society has ways to deal na misfit. Uki vunja sehria kuna consequence. Ikiwa ni sheria kuvaa nguo fupi,sawa. Arrest her. Kumvua nguo ndio ushamba. Nimetembe nci mbakimbali nakila ina shereia. Saudi arabia hawata kuvua ngua haradhani, uta shikwa.do the sema sio kuishi kama wanyama porini na kumvuangua kama mnyama. Sasa kuna tofauti gani kati ya hawa watu na nyani porini. Ni the same ndio maana nasemani ushamba!! We are better than this. Fanya iwe ni sheria waki vunja sheria watie gerezani sio kumvuoa nguo.

      Delete
  7. Kweli si vizuri kwa dada zetu kuvaa hivi lakini si kufikia hatua ya kumdhalilisha au kumvua nguo hadharani ni tabia mbaya na kukosa heshima pia..Je kama uyu ni dada yako au mmoja katika familia yako ungefuraia hili jambo la awa vijana.

    ReplyDelete
  8. Ni fundisho...kuvaa vby ni kujiuza kiaina.who wants to see your cheap dirt stuff? Vaa kiheshima uheshimiwe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usiangalie kama hupendi, inakuuma 2

      Delete
  9. Horny dogs that should be locked away

    ReplyDelete
  10. Dar es salaam tumeshawavua sana nguo wanajifanya vichwa ngumu na mwisho juzi tu kavuliwa dada mmoja nguo mbele ya bwana wake na watu wakatamka kumaliza shida zao hapo hapo hazarani, kkoo nimeshashuhudia mwanamke anakimbizwa kama mwizi na alijua kudandia daladala na alienda sehemu asio taka kwenda hii ndio dawa sheria itafuata baadae.

    ReplyDelete
  11. Kama waona yapsa dada avuliwe nguo kwa alivyo vaa. Basi yapaswa pia wanaume walio na sura mbaya wapigwe for being ugly and walking around. I guess uki chukua survey sample. Wanao fanya haya mambo 90% ni school drop out au walio fail. Munawacha wao watu wa define society yenu.what does it make you. Any better. And you wonder why you are poor .With that shallow mind set it should be no suprise

    ReplyDelete
    Replies
    1. I like you mdau hapo juu!! na kwa tabia hii ya kizembe tutaishia kuwa nyuma kila siku,,, huwezi kunambia kama wangekua na kazi za kufanya wangepata wapi muda wa kukimbilia watu na kuwavua nguo!! JOBLESS ndo inawakost...shenz kbs i hate this everybody z free to do whatever pleases him/her kama haikuhusu unamuangalia wa nn??mi wananibore sana hawa kwa kweli

      Delete
  12. Watu wanakuja mjini kuleta vitu vyao vya vigigini.

    ReplyDelete
  13. Kesho navaa mini napita sotendi waniguse niwashoot wakawajoin waliotangulia pumbavu hawana kazi za kufanya wao wanavyovuta bhangi zao nani anawafuta mnyyyyx

    ReplyDelete
  14. yote mmezungumza ila mimi nasema hivi hao wanaoovaa nguo fupi wanajivunjia heshima kwani akitoka nyumbani kwa wazazi wake anafunga kanga akishacona anaacha kanga kwa jirani kama aliona niheshima kuvaa nguo fupi angeanzia nyumbani kwao kwa babake hao ni kuvua tu iliashike adabu nani anahaja na mapajayako upuuzi tu kabla hujavaa kwanza jitafakari kwanza mwenyewe ama sivyo watakuvua tu

    ReplyDelete
  15. yote mmezungumza ila mimi nasema hivi hao wanaoovaa nguo fupi wanajivunjia heshima kwani akitoka nyumbani kwa wazazi wake anafunga kanga akishacona anaacha kanga kwa jirani kama aliona niheshima kuvaa nguo fupi angeanzia nyumbani kwao kwa babake hao ni kuvua tu iliashike adabu nani anahaja na mapajayako upuuzi tu kabla hujavaa kwanza jitafakari kwanza mwenyewe ama sivyo watakuvua tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad