DAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIKE

Habari wakuu
Nimekua nikiona post nyingi saaaana kuhusiana na dawa za kuongeza nguvu za kiume pamoja na dawa za kuongeza ukubwa wa dushelele,sasa mimi nakuja na swali, hivi ni dawa gani inaongeza nguvu za kike??????// na je dawa ya kuongeza ukubwa wa papuchi ama ya kufanya tupige game kwa muda mrefu ipo? i am serious plz naombeni msaada.

Kutoka JF

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Papuchi ndio nini? Mmh kawaida nina nguvu nyingi nimerithi kutoka kwa uko wangu/ kabila but nikiwaga nataka kuongeza speed huwa nakunywa moscato(wine) maana huniongezeaga hamu balaa:)


    Bijou

    ReplyDelete
  2. umekosa vyakuandika umeamua u2andikie upuuz wako kamuulize demu wako" weka vi2 vyamaana

    ReplyDelete
  3. unamatatizo cio bure

    ReplyDelete
  4. kunywa wine au bia aina ya redds

    ReplyDelete
  5. hatujui kama ipo au hipo sababu hatjawai itumia

    ReplyDelete
  6. kula ugoro, kitimutimu chake lazima mr akimbie, kudadadeki!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad