DIAMOND NA NADIA INSTAGRAM UTATA MTUPU....KWELI NI MASHEMEJI





Jana Mambo kwenye Instagram mambo yalikuwa ni Diamond na Nadia tu picha kibao ..zao zikijadiliwa ...Huyo ni Mwanadada Nadia wa malaysia alipo Diamond kwa sasa akifanya show katika mapozi tofauti sehemu mbali mbali...Mpashaji wa habari hii ametuambia eti wanaitana mashemeji ....Mhh We Wasemaje kunani? au tuwaache walale?

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ukiona manyoyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. mmmmhhhhh........!? me napita jaman!

    ReplyDelete
  3. ukiona mwenzio ananyolewa nawe tia maji diamond ni he-goat sababu ana mkwanja lazma tu atavinjari kaz kwako sijui chumvi mara sukari.....unalo sura bandidu .....sijui peni mara penceli loh! haya toa maoni yako

    ReplyDelete
  4. atawatomba sana wadada wa mjini wanaopenda ela za bure,nasikia penny mwenyewe yupo mbioni kumwagwa maana bibie sepetu analilia penzi bado la diamoni mbona majangaaaa

    ReplyDelete
  5. Kwani wema si ashamwaga jamaa kimoja,au bado wanaendelea kichinichini?nasikia wema ndo alikuwa anamhonga diamondi .

    ReplyDelete
    Replies
    1. mwacheni Wema wa watu, ndio hata akimhonga kuna shida gani??, ina maana wewe kama ni mdada hauwez kumsaidia hela mpenz wako, Mwacheni Wema wangu alale

      Delete
  6. shemeji wangekumbatiana na kulaliana ivyo iyo danganya toto, jamaa nasikia ndo amammega uyo nadia kwa sasa.chekini hata instagram ya nadia inajieleza,apo penny hana mtu tena jeshi lishaamishwa.

    ReplyDelete
  7. Acheni kuzushia watu,mna uhakika hao ni mtu na shemejie wabongo mnapenda majunguuu nimewavulia kofia.

    ReplyDelete
  8. Amna unajuw wabongo cjuw 2taachaan lini na huu ugonjw wa ku "assume"...kwaio mkiona wa2 wamekumbatian 2 tayar mnaanz bonga...aaaaah 2uaach hzo...ukwl n wao wenyew. Ndo wanaujuw xo ppo 2xpend ku assume kwaamb xmthng z goin on without any piece of evdenc??

    ReplyDelete
  9. Wanaomtaman diamond utawajua tu

    ReplyDelete
  10. Natamaniiiii diamond ambwage penseliiii kah

    ReplyDelete
  11. akitoka kwa huyo chiz sijui Nadia atakuja kwangu na mimi kwani tatizo lipo wapi,???, nataka niijue hiyo sukari ya warembo ikoje?

    ReplyDelete
  12. waacheni walale!!

    ReplyDelete
  13. We fala nan amtaman diamond au wewe nn domo ka bakuli

    ReplyDelete
  14. nyie ambukizaneni ukimwi tuu nahilo domo mbona atawameza

    ReplyDelete
  15. Huyu dogo mh!!!!!"!"""!""""

    ReplyDelete
  16. Scheme umbea watoto huyo ni shem wake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwahiyo huyo ni mdogo wake penseli?Shemeji Shemeji

      Delete
  17. Huyo penseli yatamkuta ya mwenzake diva,mwache aendelee kujigamba mitandaon

    ReplyDelete
  18. Ha ha ha watu bhana et huyo tayari analiwa ngwachu ngwachu ngwachu ngwachu

    ReplyDelete
  19. hahahaha..kibela umenichekesha!! eti kama kuku kishingo..lol

    ReplyDelete
  20. Wapi penseli??!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad